Ghalama za power tiler toka nje

Ghalama za power tiler toka nje

Zinatumika kulima tu na wakati wa kulima wengine hupanda na kufanya kazi ya kulima na kupanda lakini kupalia hazipalii, kwenye kilimo cha mpunga zinalima, kukata matuta na kuvuruga.
asante, je baada ya kulima unaweza kuzitumia kupandia na kupalilia?.

Barafu la moto
 
Zinatumika kulima tu na wakati wa kulima wengine hupanda na kufanya kazi ya kulima na kupanda lakini kupalia hazipalii, kwenye kilimo cha mpunga zinalima, kukata matuta na kuvuruga.

Barafu la moto

MZEE BABA UNALIMA MADIBILA AU MAFINGA...HAHAAAA
 
Zinatumika kulima tu na wakati wa kulima wengine hupanda na kufanya kazi ya kulima na kupanda lakini kupalia hazipalii, kwenye kilimo cha mpunga zinalima, kukata matuta na kuvuruga.

Barafu la moto
Ahaa,kumbe zinaweza kutumika hata kulima matuta ya kupanda mahindi,na vipi kuhusu taarifa ambazo zipo kuwa bidhaa za mchina siyo bora kulinganisha na bidhaa za mjapani, hili limekaaje kwenye mashine za kubota?.
 
Kubota ni mjapani Ila zipo za kichina zinamuundo wa Kubota ila kwa majina tofauti, nazo ziko poa ila zinawahi kuchoka hasa injini ndani ya miaka mitano tu zinakuwa hoi. Wakati Kubota zinakata age tu na service ndogondogo tu. Wewe fikiria hata kwenye ghalama tu, Kubota 15 million, mchina 8 million.

Barafu la moto
 
Back
Top Bottom