johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,924
- 143,479
Sijajua ni Kwanini lakini Sidhani kama wanasifia kutoka mioyoni mwao
Hii ni kama Petro alivyokuwa anamsifia Yesu kabla Jimbi hajawika
Siasa za kuelekea Uchaguzi zinahitaji umakini mkubwa 🐼