Ghafla Mawaziri wameibuka na kuanza kumwagia Sifa Rais Samia

Watz wanajua kuishi kinafiki kila sehemu
Yaani ukiwa mahali juu utaitwa kila aina ya majina
% kubwa sisi ni wanafiki sio kwenye siasa tu hata kwenye biashara
Utasikia mfalme, tajiri, baba, mlezi nk
Udhalili tunao sana
Lucifer alikuwa anamsifia Sana Mungu wa Mbinguni Kumbe lengo lake lilikuwa Tamaa ya kutaka kukalia Kiti Cha Enzi

Kilichomkuta Wote Tunakijua 😄😄
 
Kwa maana hiyo Lucifer alikuwa nategemea kuna siku Mungu atakaa pembeni ili mwingine akikalie.... 🤔🤔🤔
Lucifer alikuwa akiimbisha sifa na kuabudu anaruka kwa mabawa yake hadi juu na kuchungulia so kila akichungulia anaona Kiti Cha Enzi Kiko Wazi hamuoni Mungu

Ndipo akawaambia wenzake akina Gabriel na Mikael safari hii nitaruka na niketi kwenye Kiti Cha Enzi maana ki Wazi

Na aliporuka alishukiwa na kitu Kizito Sana hadi Kuzimu 🐼
 
Usimtishe Mwigulu Nchemba lazima akalie hicho kiti safari hii ni zamu ya Walutheri.
 
Back
Top Bottom