GF wangu anachoka kupita kiasi baada ta tendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GF wangu anachoka kupita kiasi baada ta tendo

Discussion in 'JF Doctor' started by Akili Kichwani, Mar 12, 2011.

 1. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  JF Doctor,

  ni muda sasa nimejitahidi kulichukulia suala hili kama la kawaida ila sasa naona nahitaji kujua zaidi................

  ni kwamba nina rafiki wa kike ambaye ni mjerumani, nimekuwa naye kwa muda wa karibu miezi minne sasa na anachonishangaza ni kuwa tukimaliza tendo huchoka kiasi kwamba siku nzima inayofuata huwa hawezi kufanya shughuli yoyote akidai amechoka sana kutokana na tendo lile,.................. yaani hushinda amelala tu hata kuwasha computer hawashi hata email zake huniomba nimsomee...............

  hili limemfanya kuwa "mbishi" kiasi kila nikipendekeza "tutembee".......... kama ana kazi siku inayofuata hakubali katu............ nami nimejikuta nikitaka kumfahamu zaidi badala ya kumuacha na kutafuta mchapa kazi..................

  sasa Dr hivi hii ni hali ya kawaida?........... mbona sijawahi kuona tatizo kama hili kwa wengine?............. kama ni tatizo, linasababishwa na nini? na kinga/matibabu yake ni yapi?................ msaada please...............
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hayo makubwa, mi sijawahi kusikia. ngoja doktor aje anaweza kutoa mwanga kidogo, but isije ikawa kaenda loliondo!
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Inelekea unampigisha kwata la haja! Punguza fujo!
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Aende akapime afya yake hospital. Moyo unaweza kusababisha hiyo.

  Huyo ni opposite ya nijuavyo, nijuavyo siku (anti yenu) ikimkolea kihaswa na ndio nikijituma kwa ziadan siku ya pili ndio huwa mchangamfu kupita kiasi, meno nje, ntapikiwa "favorites" zangu.

  Naomba kampime afya yake usifanye ajizi.

  Au mbonde ushaona kigozi cha kijeru, ndio mama, hakuna kulala hata kama hujala.
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahah, yaani kwata kama la TMA monduli? dunia hii ina kazi! dada we acha tu!
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh huwa unasimamia baskeli kwenye mteremko nini?mpunguzie dozi na makali then utapata jibu
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahah, sio kwata limemzidi kimo au fujo zimezidi, la hasha................ ni kama kawaida tu na kwa uzoefu wangu wala sijazidisha hadi iwe tatizo............ unajua hadi imefikia nataka mawazo hapa ujue kazi ipo,........ nimeishapekua vitabu na hata internet sites na bado naendelea kuperuzi......... kwa kweli nitashukuru kujua sababu, iweje huyu tu???......... yaani kwa kweli kuna wakati huwa naogopa asije akanifia siku moja nikawa topic kwenye media.....................
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nashukuru mkuu, hilo la moyo nitalifanyia kazi mkuu..........., hapo penye bold sijaelewa vizuri, naomba ufafanuzi zaidi mkuu.................
   
 9. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  we Miss Judith mchokozi eeh? uliona wapi kwata la wapendanao likawa kama la monduli?........... hahah, nashukuru umenichekesha kidogo.............
   
 10. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahah, kusimamia baiskeli kwenye mtelemko? hii nayo kali........ lol,......... but ni kawaida tu mkuu.................
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kaka punguza ku2mia pweza,UTAUA BENDI,mi najua akizidiwa m2 huomba maji anywe,ila hyo yako n xtreem
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Yaani umeshaona mtoto wa kijerumani...
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Au uvivu wake tu! Mmmh!
  Kuna rafiki yangu nae akitoka kudinywa atalala siku nzima ila yeye ana asili ya uvivu pia.
   
 14. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  thanks mkuu...............
   
 15. wende

  wende JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Aise,
  Jitaidi nenda kwa doctors wamcheck hali ya moyo wake au kisukari. Hey watch out asijekafia kifuani. Kwa jinsi ulivyoeleza sipati picha kabisa na binafsi siwezi kusema ni mvivu au we unasimamia kwa vile ilo ni gozi la kigeni....NOOO! Mbona si wenzio hawa wabongo tulionao tunawadinya mpaka kuanzia masaa ma2 and more but ikifika alfajiri mapema ameshamka kwa ajili ya kuandaa maji ya kuoga na chai. I am sure you know and you have experience na the way wabongo walivyowavumilivu ktk kazi na ndo maana umemstukia huyo Mjer na huko kuchoka kwake.Huyo wa kwako anaweza kuwa na matatizo ya kiafya plse react immediately to ur doctor.
   
 16. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwa hilo la uvivu pekee.......... nasita kulikubali............ bongo nilikuwa na mchaga mmoja, mvivu sana na tena mvivu hadi tunagombana kwa uvivu wake na alikuwa more than 100 kgs................. lakini hakuwa hivi! ......... siku kama za weekend tulikuwa tunaanza mchana na tunapiga kwata kwa masaa kadhaa tukijiburekisha........after just few moments anakuwa bomba tunatoka kutafuta kitimoto mahali........ kisha tunarudi tunalianzisha upya hadi midnight................ tunalala na kesho asubuhi kila mtu kivyake kwenye majukumu!............... mi naona huyu analo tatizo lazima..................
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  asante mkuu kwa ushauri.......... ni kwamba hilo la kisukari tumeishacheki na hakupatwa na tatizo, itabidi sasa nimpe counseling tutafute vipimo vya moyo.......... manake kweli ni soo, hadi nimeamua kuuliza, hata mimi limeishanichanganya................. asije kweli akanifia nikkapata coverage ya bure kenye media............
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Au ana- diet si unajua mambo ya ki-magharibi, sukari inapungu mwilini afu ndo uchovu huo
  Au ana damu kidogo, anaweza kuwa na ugonjwa unaokula dam the mtu anachoka,
  mengine moyo kama walivosema wengine,
  Uvivu???? NO.
  Kwata tehe tehe, unlikely.
  Better see a physician.
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mpeleke Loliondo akapate kikomba cha Uzima baba, akitoka hapo utamkimbia mwenyewe kama FENI hahaha (just a joke)
   
 20. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mambo ya kikombe si ndio kama hivyo tena kila mtu na lake?..................
   
Loading...