Getrude Lwakatare ni Mchungaji, Mwanasiasa

Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.

Ni agent wa shetani kwa kivuli cha uchungaji..
 
Huyu mama nilipomchoka alipofunga kituo chake cha kulelea watoto yatima pale tabata bima na kuwarudisha vijijini kwao na hyo sehemu anataka afungue university yake,. Yani huyu mama ni pepo kweli
 
Anayejadiliwa hapa, kweli ni mch. Getrude Lwakatare na wala siyo Mch. Getrude Mpangalile" RWAKATARE" (Lwakatare??? what is this ?)
LWAKATARE aweza kuwa tapeli na siyo.... Rev. G . RWAKATARE.......huyu ni Mtumishi wa Mungu wa ELIYA
Kuinuliwa kwake Rev. Rwakatare ( simzungumzii LWAKATARE) kulikuwa hivi: - katika mapito ya kidunia aliamua kumtafuta Mungu kivyake na ma-prayer partners wawili -Mama Niku Kyungu(morde)sasa yuko San Francisco USA, na Mrs. Kimara.
Walivaa magunia ya kushona kama suti!!!! pale Msimbazi na Uhuru-AG walikesha na kuomba mwaka mzima!!!! una ubavu kama huo rafiki yangu JF? tuseme tu ukweli jamani wa JF wenzangu, mwaka mzima wewe na madhabahu
usiku kucha!,,,,! mimi binafsi siwezi.

Sasa sikiliza matokeo yake...baada ya maombi ya kulia machozi na makamasi pamoja, mpenyo wake.. masikio ya watanzania yalituwasha, mbingu zilicheka......
She was the first woman to launch NGOs za watoto yatima pia wajane na mambo mengi sana ya kusaidia jamii. Aidha shule zake za St Marys zimelipatia Taifa letu vichwa vyenye adili na akili bora. MCH. RWAKATARE, (siyo huyo LWAKATARE munayemujadili) amepata Prestige and Dignity katika nchi hii, jambo ambalo limemwongezea MAADUI weingi sana kama wale aliokuwa nao mfalme Daudi. hawajaanza leo wala jana. Anawaombea kila siku kwa Mungu
Nimalizie kwa kusema Msichume milaana ya bure kujadili kitu musicokijua, yeye na familia yake sasa Mungu amewaketisha Peponi ya Duniani, wanakula makuku bado kidogo mikia itawatoka, hiyo ni baada ya kisago alichokipata kule Ilala flats. BE CAREFUL and God will Bles u

Mfuasi huyu wa pepo....
 
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.

kama yesu yupo ndani ya moyo wa ko utajua mama getrude ni mchungaji, kama unashetani ndani ya moyo wako ujua mama getrude siyo mchungaji..kazi kwako
 
haya makanisa ya majina ya watu auu mtu mmoja mmoja sijui mchungaji nabii mwingira, kabobe,mzee wa upako,nk ni ya kuyaogopa sana maana huwezi kujia anamtumikia mungu gani na dhamira yake ya kweli anayoendeshe utumishi ni ipi.

mimi nitabaki kusali katika makanisa niliyozaliwa na kuyakuta, katoliki angikana, sabatho, luteli nk

Umeongea vyema sana.....Sema watu huwa kama wana pepo mchafu...Huwa hawaelewi kutwa kucha yapo humo kwenye hayo makanisa kanjanja...
 
Pia rwakatare akishirikiana na mitume na manabii wenzake toka kongo wanaendesha vitendo vya ubakaji kwa watoto wetu. Pamoja na kuwasafirisha nje ya nchi

I was so shocked when I learnt about this. Sijui kama ningemfanyaje huyu 'mchungaji' kama hao watoto wangekuwa wangu. Bila aibu kabisa huyu mama anawatafutia watoto wa wenzie watu wa kuwabaka halafu anakuwa na moral authority ya kusimama madhabahuni na kulitaja jina la Yesu? Hapana! This is too much! Halafu bado watu wanakwenda kumsikiliza akiwahubiri habari za Yesu. Huyu 'mbunge' the only time mimi nimemsikia akiongea bungeni ni pale alipowashukuru wale wote waliompa pole baada ya kufiwa na 'mume' wake na wale waliomsindikiza kwenda Bukoba kwenye mazishi. Kama alishaongea wakati mwingine sikumsikia. Si ajabu hata 2015 akapeta vilevile. Money speaks.
 
Mchungaji wa mshahara huyu sio mchungaji wa wito.
 
Getrude Rwakatare she was a secretary TPHA 1978's to 80's the time she resign & went to USA Oral Robert university for theology next...
 
Umeongea vyema sana.....Sema watu huwa kama wana pepo mchafu...Huwa hawaelewi kutwa kucha yapo humo kwenye hayo makanisa kanjanja...

Ogopa yale makanisa yanayo hubiri: Utajirisho, Kupata mchumba, kupata kazi, kupata scholarship, kupata viwanja vya kujenga nyumba, kupata kazi Marekani nk! Kila siku Wachunguji hawa uwapa matumaini waumini wao jinsi ya kupata hayo niliyotaja hapo juu, lakini mwisho wa siku, hakuna lolote! Angalia majumba ya kifahari wanayomiliki, magari ya kifahari wanayomiliki(Limo, posche, Hammer, Lamborghini...), utajiri uliopindukia. Karaghabao!!!
 
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.
We kijana ushindwe katika jina la yesu aliye hai.Nimekuchunguza katika ulimwengu wa roho,we kijana una mapepo yanayokufanya uulize maswali magumu.Nakuomba jumapili uje pale mikocheni B Assemblies of God(milima wa moto) uombewe uyo pepo wa maswali magumu kwa viongozi wako wa dini akutoke.Karibu sana mpendwa,uponywe,
 
Duh! Ninakushauri usiende kwani utarudi na pepo. Mchunguze kwanza mchungaji wako kuhusu wale watoto inaosemekana aliowatafutia wabakaji halafu akataka eti kesi iishe kimya kimya. Kha!
 
Hakuna Sifa ata mmoja ya mtumishi wa Mungu hapo! Watu wanapotea kwa kukosa maarifa! Huwezi kumtumikia Mungu na Mali!
 
Sio yeye tu ata wachungaji wote wanaojiita Mara mtume, Nabii, Mzee wa upako na wengine wote ni Usanii mtupu! Ni biashara kwa kwenda mbele wala hakuna Mungu Kwao! Dini zimegeuzwa biashara siku hizi! Ndo maana makanisa kibao yamefunguliwa na yanafunguliwa hasa miji Mikubwa na yenye uchumi mzuri!
 
Kwa laana ukisha kuwa mwana ccm hata ukiwa profesa unakuwa kama mwanafunzi wa chekechea...
 
Sio yeye tu ata wachungaji wote wanaojiita Mara mtume, Nabii, Mzee wa upako na wengine wote ni Usanii mtupu! Ni biashara kwa kwenda mbele wala hakuna Mungu Kwao! Dini zimegeuzwa biashara siku hizi! Ndo maana makanisa kibao yamefunguliwa na yanafunguliwa hasa miji Mikubwa na yenye uchumi mzuri!

Mimi sametime nashangaa sana baadhi ya wakristo, yani maandiko yanasema siku za mwisho watakuja manabii wauwongo.. Na makanisa yatakuwa mengi! Lakini unashangaa jinsi watu hawasikii hilo neno... Kutwa kuchwa kuhama makanisa.... MIMI NIMEZALIWA CATHOLIC NITAFIA CATHOLIC.. KANISA MAMA NA LA MITUME WOTE...
 
JF ndio penyewe ni zaidi ya kila kitu,kina kibwetere wapo wengi na hawakosi wafuasi
 
Huo mwili wake na John Komba kwa pamoja uzito wake ni John Mnyika kama 20
 
Back
Top Bottom