ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
pole bestito jamani
nafurahia kukuona umzima tena usijali
yule mgonjwa ameshatoka jana na yuko home kwake
nafurahia kukuona umzima tena usijali
yule mgonjwa ameshatoka jana na yuko home kwake
asante dia, fungate lipo kama kawaida....tuliahirisha kwa muda ili nipate nafuu....yani nikashindwa hadi kuja ile jumamosi pale muhimbili wangu..