Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Heaven on earth naomba unisaidie kuuliza jana ulikuwa nao harusini,mumewe amemfanya nini?
Pokea maombi ya ponyo la haraka! Upo hospitali gani tukuletee uji?
Pole sana Queen Kan kwa usumbufu unao upata now na maumivu,
Mungu ni mwema,utapona tu na kurejea hali yako ya kawaida.
Pole sana.
Khe...ndoa jana tu leo anaumwa...kuna mkono wa mtu so bure
Jamani pole sana Queen Kan mwenyezi mungu akuafu urejee jukwaani