Get well soon my CUTE.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
images

Jamani CUTE wangu anaumwa ..namuombea apone haraka ..i miss you my babe girl.
get well soon uje nikukumbatie jamani ..
nakumiss sanaaa.!!!!!!!!!!!!!!

images
 
Last edited by a moderator:
I'm really sorry Cute to hear of your illness we are all thinkin' of you durin' this tym and hope your recovery is speedy one!
 
Duh...kweli JF mambo yamebadilika. Mwali siku hizi yupo wapi??
 
Last edited by a moderator:
Rejao toa pole kwanza kwa mgonjwa, vipi ww lakini? morning chit chatters!
Oooh...kumbe nimesahau kumpa ple CUTE! Kweli dalili za uzee nimeshaziona!! Nawewe mambo gani haya kuumbuana hadharani usubuhi usubuhi?
Si ungenipigia tu? Hata salamu yako siitaki!!
Get well soon CUTE!
 
Last edited by a moderator:
SI pamoja na kumpa pole CUTE,lakini ujumbe wako mbona ni ujumbe tata? Kulikoni Mwali? Au na wewe umekuwa wale wale wazee wa harem?
 
Last edited by a moderator:
images

Jamani CUTE wangu anaumwa ..namuombea apone haraka ..i miss you my babe girl.
get well soon uje nikukumbatie jamani ..
nakumiss sanaaa.!!!!!!!!!!!!!!

images

Oya Chalii niaje? Wapi hiyo?
By the way, Get well soon Cute....
 
CUTE pole mamito! pole sana, we wish u a quick recovery urudi tena jamvini! Saint Ivuga pole kwa kuuguza!

Kumbe uko hapa? Mbona hujampa pole kwa niaba ya familia?

BTW CUTE anasumbulliwa na nini jamani. Hebu mpeni pole zangu.

Naenda kuzimua adu niwahi church kumwombea.
 
Last edited by a moderator:
Oooh...kumbe nimesahau kumpa ple CUTE! Kweli dalili za uzee nimeshaziona!! Nawewe mambo gani haya kuumbuana hadharani usubuhi usubuhi?
Si ungenipigia tu? Hata salamu yako siitaki!!
Get well soon CUTE!
nimekupigia sana hukupokea! nikajua utakuwa kifuani kwa Cantalisia, lol!
 
Last edited by a moderator:
CUTE unaendeleje? Usihofu kuugua sio kufa! utapona na tutashirikiana tene hapa hapa kwenye uwanja wetu huu maridhawa. UGUA POLEEE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom