Ahsante, matumaini yangu una nafuu sasa....:A S-rose::A S-rose:Pole dada,ugua pole...
Asante shem wangu.....mmmmh hapana sio mimi aiseesasa nahisi nakujua....kuna mtu hapa nilipo ana dalili zote kama zako !
upone haraka mtu wangu!...ila sogea hospitali I wish I could help but kwa hili si upande wangu...
Nashukuru sana kwa salamu za pole shemeji Judgement kabanga TANMO sante sana, Munkari shemeji yako analifahamu hili and he is taking good care of mimi,asante sana
My wii Madame B sijui nini kimempata kaka yako siku hizi naona ntaitisha kikao cha familia, sis charminglady i appreciate your concern sungura1980 sante
Mungu ni mwema nitapona tu naamini hivyo
Nawapenda sana
...nini kimekuuma dia wangu?
Haya bembeleza mgonjwa basi mi nitakuja panapo majaaliwa...🙂