Mkaguzi mwenzangu anaendeleaje
Mkaguzi mwenzangu anaendeleaje
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema tunakutaja daima MUNGU wetu kwani hakika haujatupungukia Mungu. Naenda kinyume kabisa na nguvu ya mwovu shetani hana mamlaka kamwe kwa watu wako MUNGU wetu. Nguvu za giza zote tunazikataa kuanzia sasa tunaenda nao kinyume kbs kwa watu wako Bwana wetu.
Mwenyenzi Mungu mpe kupona mapema huyu Dada.
Tunaomba hayo katika nguvu yake Bwana wetu anayeishi sasa na hata milele.
Madame B pole sana na ugua pole na Mungu mwenye mwingi wa Rehema atakuonekania.
Oh,ahsante Yesu!
Pole dadangu Madame B,MUNGU azd kukugusa.
dada unywe dawa na usisahau kutuletea taarifa ya maendeleo ya afya yako
Jana Madame B aliumwa gafla ucku wa sa 9, ikabidi akimbizwe hospital kwa Dr.Mvungi, amekutwa na malaria, na sehem ya uti wa mgongo yamuuma, kiac ambacho anashindwa kukaa vizuri, na alibanwa na pumzi, tunakuombea kwa M/Mungu upone haraka, na unywe dawa, pole sana, salam kwa cc
Yaani we acha tu...
Lovely my dear. Tunakuombea
Huyu mzee ana payuu!!!!!
nimefurah sana kusikia hv,maana asbh ile ulitingwa hasa.
CHEERS!