CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ha ha ha ha ha... Kumbe unatuona charminglady ..... Mie nilijua haya maandishi ambayo hatujayabold huwezielewa .....
Mgonjwa anaendeleaje jamani? @
Mzee wa Rula ulishapeleka Juice?
Lily Flower kama ndiyo hivyo kaona nini sasa????
Utajiju bana!
ungejua mgonjwa mwenyewe hapendi hata sala
Lily Flower kama ndiyo hivyo kaona nini sasa????
Kweli bana atajiju, ni kama anakana mashitaka hadharani hivi tehe tehe.
Hahaha! Hii nimeipenda Mzee wa RulaKama hujiju wewe basi lazima Mungi ajiju. Haiwezi ikaacha kula kote kabisa.
Mzee wa Rula sweetlady aliona nini mpaka akatuma copy kwa babe angu Mungi?...................
Pona haraka maana sitaweza vumilia kwenda Tanga bila wewe......
Copy kwa Mungi
DahKijana naona juice niliyokuletea imesaidia sana, pumzika kwanza upate nguvu achana na marejesho aje akumbee hapo kitandani atazidi kukulegeza miguu.