Teh kwanza sina uhakika km anajua kupika lol
Hahahaha! Kipipi njoo ujibu mashitaka huku
Hehehee Mzee Mwanakijiji umenifurahisha sana!Mungu mwenye huruma mwenyewe akurudishie nguvu na afya ya mwili na roho. In nomine Patri, et Filii, et Spiritus Sanctus.. Muzina i Tata, ne kimwana, ne Kisere Santu - Amen!! Upone!
Dah KOKUTONA nilikuwa naumwa malaria then tonses zikanivamia yan ikawa balaaa kweli kweli hapa bado niko kitandani nasikilizia maumivu kooni hata mate hayamezeki hadi nifumbe macho.Pole sana baba mlezi Erickb52, zaidi nini au mmeabukizana na Erick Junior, maana nae anagonjeka. Nikupikie nini nikulete kesh kwa breakfast?
Aaah kwa Mr Rocky ukitaka kwenda muulize Dena Amsi anajua mengi na kama atakuruhusu ni sawa ila kajamaa kanatangatanga sana. Ana watoto sita Meatu kawatelekeza, halafu nasikia Yummy ana mimba yake na juzi nimemfuma kwa sweetlady anatoka kuoga lol unadhani atakufaa?
Madame B kwa sasa homa imetulia imebaki tonses ndo zinaniuma sana. Yan ni zaidi ya homa mamito.
Karibu sana Arusha
Pole sana Erickb52.... Afu sijui kama unaandika kwa kujua ama kutojua spelling za TONSILLS.... Haiandikwi Tonses bali ni TONSILLS. Samahani kwa kukusahihisha!
Madame B kwa sasa homa imetulia imebaki tonses ndo zinaniuma sana. Yan ni zaidi ya homa mamito.
Karibu sana Arusha
Pole sana Erickb52.... Afu sijui kama unaandika kwa kujua ama kutojua spelling za TONSILLS.... Haiandikwi Tonses bali ni TONSILLS. Samahani kwa kukusahihisha!
We mwisho unambie ninywe maji ya betri lolPole sana Erick Nzambe atakulinda. Ila dawa ya tonsils ni kiroba kimoja asubuhi na jioni, sijawahi kutumia ila ni maneno ya
Bush Doctor..................desh desh
Heheheeee maneno marefu ya nini charminglady ?
Ngoja nitumie MK kwa urahisi yan Madonda ya Koo