Heheeee njoo tufarijiane best dah
hivi ndio tuntakiwa kuishi asante sana
Tena tulikubaliana amchukue uncle wangu then mi nimchukue charminglady
Hope charminglady atafurahi kama nilivyofurahi mimi!
ukitaka kum quote mtu unaweka hii herufi @ then unaandika id yake itatokea automaticaly ila usiache nafasi kati ya hiyo @ na ID mfano ladyfurahia
Yah utakuwepo pale mahali mpaka Jumapili?!! Ukimaliza kusoma hii post FUTA
asante sana Arushaone nimepitaga jeshini mimi mambo yangu so short short hahahahsafi sana kwa kufundisha ila ngoja nimuongezee maujanja tena.
ladyfurahia angalia id (jina la member) imeandikwaje, kama inaanza kwa herufi kubwa au ndogo, andika hivyo hivyo bila kukosea, lakini kabla hujaandika tanguliza hii kitu @ bila space, ukimaliza jina au id inasomeka na kama umemtaja, automatic anaona alert kwenye notification yake. Huna haja ya kubold id ya mtu.
Mfano arushaone inaonekana kama andishi la kawaida tu,
arushaone ifuatayo nitaweka @ pale nyuma ya a
@ arushaone hii haibadiliki mpaka niunganishe @ na a
ndio hii sasa Arushaone.
Kumbuka ukisha send ndio utaona imebadilika. Jaribu na wewe sasa mtoto mzuri eeh!
Ualimu kazi kwelikweli, pole kwa mwalimu gfsonwin na mwalimu snowhite.
Hapa ndio nimeingia kukaba...yaani sisy unataka kuchukuliwa hivi hivi bila mi kujua...lol. inabidi kuanzia sasa PM zote ziwe zinapita kwangu kabla hazijafika kwa nitonyeUmepitwa sana kaka, tena usipoangalia mahari watakula wengine!