Get Well Soon Beibe Nasty

Get Well Soon Beibe Nasty

My love si ulimsikia doc ts jus stomach muscles zimetight tuu si hebu usiwape matumain eakina cl na wana chitchat kuwa soon iwill avin a baby

Hiyo mi naona ni yenyewe coz you have fully diagnosis!
Sa niwadanganyie nini ?
Ulipokua unanihimiza KILIMO KWANZA?
That's a results ! Ulitegemea tuvune nini ? Instead of that makitu ?
Hicho kimeshamea! Hakichomoki ! Unacho hicho .
 
POLE SHOSTITO! utapona kwa rehema zake ALLAH!
 
You aunt she conceive already! Hence that disease it called "Morning Sickness" most of woman who in that situation they suffer from a certain problems.

huu ugonjwa ngoja nikaucheki zaidi kwa ankoli mzizimkavu anipe data zaidi..
 
Hiyo mi naona ni yenyewe coz you have fully diagnosis!
Sa niwadanganyie nini ?
Ulipokua unanihimiza KILIMO KWANZA?
That's a results ! Ulitegemea tuvune nini ? Instead of that makitu ?
Hicho kimeshamea! Hakichomoki ! Unacho hicho .

Simo mim watu watakavyoleta pampers na kibesen sijui utafanyaje
 
Tena!!!
Mdogo wangu beibe nasty nini tatizo Mummy?
Mwezi jana ulikuwa hujisikii vyema na mwezi huu tena?
Mdogo wangu nini kinachokusibu?
Au unaniletea :baby:?
Au Shemeji Judgement anakupa kipondo?
Au Kakupa talaka?
Au anataka akuolee mke wa Pili?
Au anarudi usiku wa manane?
Au Perfomance yake,huduma kwa mteja haiko njema?
Au kafukuzwa kazi?

Najua akifanya/akifanyiwa yote kati ya hayo juu ni lazima Uumwe,tena Utaumia sana.
Dadayo nipo,
Kama Jdgmnt anakuletea za kuleta,nitampa makavu.
Ila Pole sana.

Dada wala judgement ananitendea veema kabisaa ila tatizo ni kwamba jana tuu nilikua vizuri sikunzima ghafla mida ya jion tuu nkaanza sikia tumbo limekaza yani siez simama siez tembea gud thing nilikua maeneo yakunyumba laasivyo ningeshindwa rud nyumban yani
 
Last edited by a moderator:
Dada wala judgement ananitendea veema kabisaa ila tatizo ni kwamba jana tuu nilikua vizuri sikunzima ghafla mida ya jion tuu nkaanza sikia tumbo limekaza yani siez simama siez tembea gud thing nilikua maeneo yakunyumba laasivyo ningeshindwa rud nyumban yani

Pole sana besti, sijui kwa nini ugonjwa wa tumbo sasa hivi unashika kasi! Mi mwenyewe siku chache zilizopita niliugua tumbo wangu.....loh nilikuwa nahaha si kidogo! Btw, waonaje hali kwa sasa?
 
Pole Mdogo wangu.
Basi ukizidiwa utanistua!!
Ukiona sipatikani mtafute Shemejio Rutta atakusaidia.
 
Probably !
Coz those several symptoms for early pregnancy signs to detect conception zinaonekana, vinginevyo soon i'wll be confirm .

so so happy for you. You are going to be a daddy
 
Pole sana besti, sijui kwa nini ugonjwa wa tumbo sasa hivi unashika kasi! Mi mwenyewe siku chache zilizopita niliugua tumbo wangu.....loh nilikuwa nahaha si kidogo! Btw, waonaje hali kwa sasa?

Wewe nadhani NASA concern!
 
Pole sana besti, sijui kwa nini ugonjwa wa tumbo sasa hivi unashika kasi! Mi mwenyewe siku chache zilizopita niliugua tumbo wangu.....loh nilikuwa nahaha si kidogo! Btw, waonaje hali kwa sasa?

Kwa sasa kuna hauen hadi naeza andika hapa jf ila bado yan napata maumivu sana yan kucheka kwa saut siez wala kuvuta pumz kwa sana siez
 
Back
Top Bottom