Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
- Thread starter
-
- #101
Thank you for everything darling, I love you very much and you; you know that baby.
Pole sana kamanda Arushaone.. Ninaamini uko kwenye mikono salama ya shemeji yangu Lady doctor..
cc Paloma..
Get well soon Arushaone!Tunakuombea na pokea uponyaji,katika jina lipitalo majina yote,jina la Yesu!Pokea uponyaji!
Wakuu yaani naumwa kiasi ambacho sijawahi kuumwa maishani!! Sijawahi kupata pneumonia kabla kwa hiyo vichomi mgongoni na kifuani ni kama sindano.
Ugonjwa huu ni matokeo ya baridi kali ya tangu mwezi March hadi mwezi July mwaka huu ambayo ilikuwa kali sana, nami nilikuwa mbishi sana kuvaa nguo za baridi wakati ule.
Natumia dawa kama nilivyoandikiwa na daktari, mchana sio mbaya sana ila usiku nddio naumwa mno kupitiliza ila I know I shall overcome this.
Kutoka moyoni mwangu nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaonipa moyo na kunijali sana.
Shukrani za pekee kwa Lady doctor. Speechless.
Kwa syle hii lazima atapona tu tehe tehe.
ASANTE DEAR, Mungu ni mwema atakuponya we endelea kutumia dawa kama ulivyo shauriwa na daktari..!
hahahaaa...... Sasa Mzee wa Rula unalalamika nini wakati mi ndio naishi nae so lazima niwe wakwanza kujua afya yake.
Btw karibu, leo nipo home tu namuuguza maana usiku hajalala atii.
Roho inaniuma sana......alikuwa wangu huyo.
Ila Mungu yupo nami.
Mpe pole sana.
Basi jombaaa kwa siri hajambo hata swahiba wake hanijulishi lakini asizoee kulia kizani ili kuepusha ngumu kwikwi kwikwi tehe tehe