Get to know unit 8200

Get to know unit 8200

Unit 8200 ya vijana(16-21) machachari sana ktk tasnia ya ujasusi ambao asilimia kubwa wanategemea teknolojia kufanikisha kazi yao.
I guess you're among them Toto
 
Mtoa Uzi hili bandiko lako ungelitafsiri na kulileta kwenye lugha yetu adhimu na tamu ya kiswahili. Ungekua umepiga bao murua la kisigino.
Habibu B. Anga alishatafsiri haya maelezo katika uzi wake UNIT 15 unaoendelea kwa sasa huko jamii intelligence
 
eighty 2 hundred ni kitu kingine kabisa....awana mambo ya kito kama wanayofanya sijui watu wasiojuli....kana
 
Sijaona cha ajabu hapo, vifaa kama simu na computer vinatumia waves kuwasiliana, hizo waves yeyote anaweza kuzidaka lakini huwa zimefungwa(encrypted) wanachofanya ni kuzi decrypt ili wazisome.
Israel imewekeza pesa kwenye research ya jambo hilo pia wana vijana maelfu wanaoshirikiana kufanya jambo hilo.
Ila kuna hackers wapo yeye ni mmoja na amejifunza mwenyewe wamefanya makubwa mno, kwani hamjawahi kusikia hacker aliye hack NASA?
Sio kwamba hao vijana wana akili nyingi sana, hapana ni vipaumbele tu.
Na si kila wanalofanya wanafanikiwa mengine wanafeli tena mengi tu.
Whaat? Eti kitu cha kawaida?
Anyway, unaweza kuita hivyo kwasababu tu kinafanywa na binadamu, lakini pia ukumbuke sio kila mtu anaiweza. Hata wanaoweza wanatofautiana madaraja
Wanachofanya UNIT 8200 ni large scale hacking, globally, ni zaidi ya juhudi za mtu mmoja. Na hatari zaidi ni kuwa wanapenyeza hadi kwenye taasisi zenye cyber security ya hali ya juu. Angalia walivyofanikiwa kwa KASPERSKY, kampuni kubwa iliyowekeza kuuza tech za cybersecurity, highly trusted lakini hata wao wakageuka wahanga, utaita hii sio ajabu

Wanadeserve credit, hatujawasogelea hata kidogo
 
Sio kwamba hao vijana wana akili nyingi sana, hapana ni vipaumbele tu.
Na si kila wanalofanya wanafanikiwa mengine wanafeli tena mengi tu.
Wewe hoja yako hapa ni nini hasa?

Na si kila wanalofanya wanafanikiwa mengine wanafeli tena mengi tu.-------- anybody who has not encountered a failure in his life, has never tried something new

Na si kila wanalofanya wanafanikiwa mengine wanafeli tena mengi tu---------they may always encouter some failures because they are frequently trying SOMETHING NEW EVERY NOW AND THEN, EVERYTIME

Back
Top Bottom