wewe uliharibu siku yako mwenyewe. pale big brother na san siro kuna umbali gani hadi uende kulala manzese?. una bahati hawajakuiba au kukuibia. Mkuu huku mjini hatulali weekend. kama hivyo ulitakiwa uende zako sansiro au ambiance ungekutana na wafanyakazi wenzio au watu mlosoma wote.saa kumi ungechukua mmoja akaenda kukupigisha mswaki hadi asubuhi. penye miti hamna wajenzi. mkuu ntafute siku moja tukazurule usiku. Mia