hata mie nlikuwa nashangaa, title na content tofauti kabisaaaa!teksi bubu ndo gesti bubu au?
yani unaacha kwenda nyumbani kwako ukalale kwa amani unaenda gesti bubu kwasababu ya uvivu??
sema wakati unatengenezewa gari ulipata labda mdada muuza matunda.......si unawajua wale wanapitisha gereji....ukaona ukachetuke bana........
.
Sijaona hoja hapa!
teksi bubu ndo gesti bubu au?

pambaf kabisa.
Hiyo ilikuwa janja ya kumdanganya WIFE!Home is sweet!!je ungekuwa umepata breakdown Chalinze siungekaa mwaka!!!sema uliamua kwenda Guest kwa ukwale wako baada ya hivyo vichangudoa kukupitia!!unalolote
teksi bubu ndo gesti bubu au?
yani unaacha kwenda nyumbani kwako ukalale kwa amani unaenda gesti bubu kwasababu ya uvivu??
sema wakati unatengenezewa gari ulipata labda mdada muuza matunda.......si unawajua wale wanapitisha gereji....ukaona ukachetuke bana........
pambaf kabisa.
sasa bwana wakati nachukua chumba kwenye moja ya guest kama unaenda mabibo iko bara barani nilishangaa napokueliwa na madada kama 4 hivi nikajiuliza hawa wote wahudumu? walikuwa wamevaa khanga moja wengine sasa mziki ikawa ni...............................................................
nimechekaaa sanaaa...dah!!etii wakwambie sihemu nyingine wanapotoaa hizoo udumaa,wee umeshindikanaa mkubwaaa?yanii za mabiboo hazijakutoshaa watakaaa nyinginee na nyingine.unamkeee wewee au bachelor????