gesi ya majumbani

Hivi karibuni premier gas ltd kenya walizindua mtungi wa kilo moja a.k.a pima gas. Unaweza kujaza/kununua gas kuanzia ksh 50(tsh 1000) kwa mawakala ambao wanayo kifaa cha kujazia (dispenser).
 
Solution ni kuwa na mitungi miwili kwa jiko moja, mmoja ukiisha unaweka mwingine wakati unajipanga kuujaza ulioisha kabla hujaumbuka. Mimi niliishiwa gesi wakati chakula cha wageni kinapikwa...

tatizo mshiko mwana, yahtaj pesa ya ziada kununua mtungi wa pili ati. . .
 
Back
Top Bottom