Gesi kushuka bei kesho

Viipi lake gas?
 
Yasije yakawa kama yale ya sukari, badala ya kushuka ndo ikapandaga zaidi.
 
Lake gas haishuki?
 
Vizuri, hata hivyo bado bei juu sana ikizingatiwa ges tunavuna wenyewe hapa hapa Tanzania, ilipaswa kwa kg 15 angalau iwe tsh 30,000 na kg 6 tsh 11500.
Mkuu hii LPG(Gesi ya kupikia) haivunwi hapa tanzania. Nayo ina ingizwa kama mafuta ya petrol na diesel!! Hii ya kwetu ni natural gas ambayo japo inaweza tumika kupikia ila sio kwa kuwekwa kwenye mitungi ina bidi wakuunganishie bomba hadi nyumbani kwako ndio uweze kutumia kuna baadhi ya nyumba masaki wanatumia gesi hiyo ya mtwara,
 
naulizia bei ya konyagi itashuka lini
Dragon konyagi tena! Naomba nikukumbushe ile attachment yangi inbox uliyoniahidi kuwa majibu umeshayafanyia kazi ila kuna attachment ambayo ipo kweny PC yako na utanitumia. please assist.
 
UnOna sasa kuna sababu gani kusifia kushuka bei ya gesi mbona jlipopsnda ulishangilia ges tunavuna wenyewe bado bei ya elf 44 ni kubwa sana
Gas ya Mtwara has nothing to do na gas tunayotumia nyumbani. Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Bora ishuke tupunguze matumizi ya mkaa
 
Ule mtungi wa kg 15 inatakiwa ishuke hadi 25,000 ndo itakuwa fair, na itaonyesha kweli tunachimba gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…