Nakumbuka tulivyokaa chini pale utawala mpaka marehem Chachage akafanikiwa kututoa tukaenda Nkrumah. Tulikua tunabadilisha song tu za kumuenzi baba wa Taifa. That time bwana it was UD kweli: Akina Zitto, Ruge,Kivugo,Kashube,Makabwe na wengineo tuliokua tunaungurumisha song za "kama sio nguvu zake Mwalimu"RIP Mkili.