R.I.P brother Gervas!
Poleni sana wafiwa may God rest his soul in peace.
Hapo umelisahau jembe linaloitwa ALBERTO MSANDONakumbuka tulivyokaa chini pale utawala mpaka marehem Chachage akafanikiwa kututoa tukaenda Nkrumah. Tulikua tunabadilisha song tu za kumuenzi baba wa Taifa. That time bwana it was UD kweli: Akina Zitto, Ruge,Kivugo,Kashube,Makabwe na wengineo tuliokua tunaungurumisha song za "kama sio nguvu zake Mwalimu"RIP Mkili.