Gerson Msigwa Kwanini umefunga Comment Section?

Wazee wa kutoa condolences ๐Ÿ˜ƒ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜„
Screenshot_20251130_153333_Lite.jpg

Au sio? ๐Ÿ˜ƒ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜„
Screenshot_20251130_153424_Lite.jpg
 
67,000,000 x 0.02 = 1,340,000
Hao ni wengi sana kama wakiamua kukoment๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nop wapiga kura ni milioni 32.

Kwahiyo 32,000,000x0.02=640,000.

Hao ndo wanaomtisha mama na serikali yake mpaka wanafunga comment section na kuacha kuvaa mishati ya kijani mtaani.
 
Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa si tu sehemu ya mawasiliano, bali pia eneo la kuungana, kufarijiana na kuonesha utu wetu kwa wakati wa furaha na majonzi. Hivyo basi, tangazo la msiba wa mama wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, limeibua mjadala mpana si kwa sababu ya taarifa yenyewe, bali kwa kitendo cha kufunga comment section mara baada ya kuiweka.
View attachment 3509564
Kwa kawaida, Watanzania hutumia majukwaa haya kumfariji anayeondokewa na mpendwa. Pole, sala na maneno ya matumaini ni sehemu ya utamaduni wetu wa kuomboleza kwa pamoja. Hivyo, kitendo cha kufunga sehemu ya maoni kimewaacha wengi wakijiuliza: Je, watatoa pole zao wapi? Ni kwa nini nafasi hiyo haikuruhusiwa hata kwa saa 24?

Wapo wanaodai kuwa Msigwa ana haki ya kulinda faragha yake na familia katika wakati huu mgumu. Lakini wengine wanasema kuwa ana nafasi ya juu serikalini, na kupitia ukurasa wake ndiyo njia pekee ambayo wananchi wengi wanaweza kufikisha salamu zao za rambirambi.
View attachment 3509565
Mjadala mkubwa ni kumbukumbu za matamshi yake ya karibuni dhidi ya vijana na wanaharakati waliopinga mauaji na ukatili unaodaiwa kufanywa na baadhi ya vyombo vya dola. Kauli ambazo zilimfanya aonekane mkali, bila kuonesha huruma kwa maumivu ya familia zilizopoteza watoto wao.

Watu wanaeleza kuwa angeacha mlango wa maoni wazi angalau kwa muda mfupi, ili Watanzania waungane naye kama ndugu na kama taifa. Kwa sasa, mjadala umebaki kuwa ni mpaka kiasi gani viongozi wetu wanathamini sauti za wananchiโ€”hasa nyakati ambazo wanahitaji faraja kutoka kwao.

Lakini mwishowe, msiba ni msiba. Watanzania wanaendelea kumwombea nguvu, faraja na ustahimilivu. Gerson Msigwa fahamu hayo maumivu ndio watanzania wanapitia mnapoamua kuua vijana wao.
Kwani we Huoni watu walivyo furahi ata ingekua wewe ungefunga comment
 
tunaenda kumwaga upupu kwa wafiwa misiba itafuruliza hawata amini macho yao
Gen Z hawachelewi kuweka Rat poison kwenye msosi ili msiba ubambe zaidi ๐Ÿ”ฅ
 
Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa si tu sehemu ya mawasiliano, bali pia eneo la kuungana, kufarijiana na kuonesha utu wetu kwa wakati wa furaha na majonzi. Hivyo basi, tangazo la msiba wa mama wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, limeibua mjadala mpana si kwa sababu ya taarifa yenyewe, bali kwa kitendo cha kufunga comment section mara baada ya kuiweka.
View attachment 3509564
Kwa kawaida, Watanzania hutumia majukwaa haya kumfariji anayeondokewa na mpendwa. Pole, sala na maneno ya matumaini ni sehemu ya utamaduni wetu wa kuomboleza kwa pamoja. Hivyo, kitendo cha kufunga sehemu ya maoni kimewaacha wengi wakijiuliza: Je, watatoa pole zao wapi? Ni kwa nini nafasi hiyo haikuruhusiwa hata kwa saa 24?

Wapo wanaodai kuwa Msigwa ana haki ya kulinda faragha yake na familia katika wakati huu mgumu. Lakini wengine wanasema kuwa ana nafasi ya juu serikalini, na kupitia ukurasa wake ndiyo njia pekee ambayo wananchi wengi wanaweza kufikisha salamu zao za rambirambi.
View attachment 3509565
Mjadala mkubwa ni kumbukumbu za matamshi yake ya karibuni dhidi ya vijana na wanaharakati waliopinga mauaji na ukatili unaodaiwa kufanywa na baadhi ya vyombo vya dola. Kauli ambazo zilimfanya aonekane mkali, bila kuonesha huruma kwa maumivu ya familia zilizopoteza watoto wao.

Watu wanaeleza kuwa angeacha mlango wa maoni wazi angalau kwa muda mfupi, ili Watanzania waungane naye kama ndugu na kama taifa. Kwa sasa, mjadala umebaki kuwa ni mpaka kiasi gani viongozi wetu wanathamini sauti za wananchiโ€”hasa nyakati ambazo wanahitaji faraja kutoka kwao.

Lakini mwishowe, msiba ni msiba. Watanzania wanaendelea kumwombea nguvu, faraja na ustahimilivu. Gerson Msigwa fahamu hayo maumivu ndio watanzania wanapitia mnapoamua kuua vijana wao.
Anaogopa kubanduliwa nyoro yake ya nyuma
 
Aongelee SGR sio mambo ya kifo cha mama yake..
 
Weeeehh ๐Ÿ˜
Nishapata sababu ya kulewa..!!

Waungwana habari kama hizi muwe mnazileta mapema.

Mna Uhakika lakini? Sio AI? ๐Ÿ˜น
Guys Guys Guys ๐Ÿ˜ƒ
 
Hao washenzi kina girishoni na wasanii machawa wakipost bila kufunga ni kuwapelekea moto wa laser tu mpaka wafikie steji wakipost wawe wanafunga kama anavxyofanya girlshoni.
 
Aisee
 
Watu wakaamua kumfuata DM huko huko ๐Ÿ˜ƒ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜„
1764592110468.jpg
 
Back
Top Bottom