Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

... kwa hiyo ulikuwa chumbani siku hiyo ndio ukaenda kutoa taarifa?
Umeelewa nilichomaanisha au umejisikia tu kuropoka?

Labda nikuulize :
Wewe ni mangapi ya aibu unayofanya kwa siri ukiwa chumbani mwako??

My point is, sisi Wanadamu bila ya kujali vyeo vyetu au hadhi yetu mbele ya jamii lakini tuna tuna siri nyingi zilizofichika. Hivyo siyo ajabu kusikia Zitto na Maalimu waligombea shoga.
 
Mimi hata sishangai. Waoneni tu watu kwa nje, lakini yale wanayoyafanya wakiwa vyumbani mwao ni mazito mno.

Kuta za vyumba zingekuwa zinaongea watu wengi sana wangeumbuka.
Ni rahisi kuthibitisha Hamza ni mwana ccm kuliko kutjibitisha zito na seifu wanampumulia kichogoni sufiani
 
Umeelewa nilichomaanisha au umejisikia tu kuropoka?

Labda nikuulize :
Wewe ni mangapi ya aibu unayofanya kwa siri ukiwa chumbani mwako??

My point is, sisi Wanadamu bila ya kujali vyeo vyetu au hadhi yetu mbele ya jamii lakini tuna tuna siri nyingi zilizofichika. Hivyo siyo ajabu kusikia Zitto na Maalimu waligombea shoga.
Kwa hiyo ni sawa na ni sahihi kwa gazeti kuleta mambo ya chumbani hadharani??
 
Kwa hiyo ushoga imeruhusiwa kisheria?

Kwanini hawakuwakamata?

Kuna wakati mwingine unaweza kujitoa akili kumtetea mtu kumbe unaainisha nchi yako kuwa kuna ushoga katika nchi yako na viongozi wa nchi yako wanagombea shoga na Serikali ipo!? Unatoa ujumbe gani kwa serikali?

Kwamba ushoga imeruhusu?
 
Hamza wa CCM huyo hapo
Screenshot_20210901-080140.jpg
 
Kuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za uongo kuhusu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zito kabwe na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais seifu sharifu Hamad kujihusisha na ushoga kwa kumgomania mtu anayejulika Kama sufiani Juma ( ni member wa jf)

Video hiyo imezua utata kwa kuwa mzigwa anasema gazeti hilo lilithibitisha (nitaiweka hapa soon ) kuwa ishu ya ushoga ilikuwa kweli
View attachment 1944504
Huyu Musiba hivi ameshamlipa fidia Fatma Karume zile bilioni 3.7 za kumchafua ambazo Mahakama kuu kule Zanzibar ilimtia hatiani kwa kuchapisha habari za uongo?
 
Kuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za uongo kuhusu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zito kabwe na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais seifu sharifu Hamad kujihusisha na ushoga kwa kumgomania mtu anayejulika Kama sufiani Juma ( ni member wa jf)

Video hiyo imezua utata kwa kuwa mzigwa anasema gazeti hilo lilithibitisha (nitaiweka hapa soon ) kuwa ishu ya ushoga ilikuwa kweli
View attachment 1944504
Weka hiyo clip na sie tujionee
 
Back
Top Bottom