Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
10,054
2,000
Mbona kodi wanazokusanya Zanzibar kupitia TRA haziishii Chumbe zinatua ardhi ya Tanganyika na kuwasaidieni kwa shughuli zenu za maendeleo yenu ya kujenga barabara, flyover, madaraja, mishahara na maposho mbali mbali lakini pia chakula chenu cha kila siku.,

Kataeni kodi za wazanzibari ili musimame wenyewe kwa miguu yenu ndio uje na kiburi cha kudharau Mahakama za Zanzibar., musiba atalipa tu.
Yaani Tanganyika yenye watu zaidi ya milioni 50, itegemee kodi ya kujengea madaraja, barabara, flyovers, mishahara na maposho mbalimbali kutoka kwa Wazanzibari wasiozidi milioni 2!! Na ambao kitega uchumi chao kikuu kikiwa ni utalii na karafuu!!!
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,139
2,000
Hapa anazungumziwa Suphian Juma!

..Suphian Juma amejiunga na ccm.

..Msigwa amekosea sana kuendeleza kashfa dhidi yake.

..Pia amekosea kutetea kashfa zilizotolewa na jarida la Tanzanite kwa Maalim Seif ambaye ametangulia mbele za haki.

..Inaelekea hana busara na ana tabia za kitoto.
 
nautaka tena

Senior Member
Jun 29, 2021
161
250
Musiba kasema hawezi kumlipa kwa sababu hajawahi kuuza gazeti Zanzibar.

Kumbuka mahakama za Zanzibatr hazina jurisdiction over raia na makampuni ya Tanganyika yakiwemo magazeti.

Mahakama sio jambo la Muungano, isipokuwa Mahakama ya Rufaa tu. Na Musiba hawezi kujipeleka Mahakama ya Rufaa kwa saab hana cha kuogopea hukumu ambayo haina nguvu kisheria juu ya Mtanganyika. Na Fatuma hawezi kuipeleka kesi Mahakama ya Rufaa kwa saab yeye ndo kashinda kesi.

Tatizo litakuja siku Musiba kajipeleka Zanzibar na kujenga hoteli au kupata mwanamke (faida za muungano tunaambiwa) na kumpa Toyota IST iliyo katika jina Musiba. Atakuwa amewapa Zanzibar Voluntary Jurisdiction ya kukaza hukumu na kukomba mali zake ndani ya Zanzibar.

Again, hukumu za Zanzibar mwisho Chumbe Kisiwani, ambapo Abedi Karume alisema ndo mpaka wa Tanganyika na Zanzibar.
Kwanini uamsho waliletwa Tanganyika?
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,202
2,000
Mbona kodi wanazokusanya Zanzibar kupitia TRA haziishii Chumbe zinatua ardhi ya Tanganyika na kuwasaidieni kwa shughuli zenu za maendeleo yenu ya kujenga barabara, flyover, madaraja, mishahara na maposho mbali mbali lakini pia chakula chenu cha kila siku.,

Kataeni kodi za wazanzibari ili musimame wenyewe kwa miguu yenu ndio uje na kiburi cha kudharau Mahakama za Zanzibar., musiba atalipa tu.
Hapa paragraph ya mwisho umesemaaaa?
 
jimama26

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,292
2,000
Sasa mbona wa kina Zitto hawakubisha? Hizi story za hivi nazo jamani ni za kuwaachia wenyewe watajwa! Dunia ina ushenzi mwingi sana kutoka kwa watu hata usiowategemea. Pengine Msigwa amemaanisha kabisa kuwa waliihakiki hii habari.
 
jimama26

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,292
2,000
Mimi hata sishangai. Waoneni tu watu kwa nje, lakini yale wanayoyafanya wakiwa vyumbani mwao ni mazito mno.

Kuta za vyumba zingekuwa zinaongea watu wengi sana wangeumbuka.

Exactly. Vistory vya hivi vipo kweli kabisa mitaani muda mrefu tu. Hasa kwa marehemu. Sasa ajuae Mungu kwa kweli!
 
jimama26

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,292
2,000
..Suphian Juma amejiunga na ccm.

..Msigwa amekosea sana kuendeleza kashfa dhidi yake.

..Pia amekosea kutetea kashfa zilizotolewa na jarida la Tanzanite kwa Maalim Seif ambaye ametangulia mbele za haki.

..Inaelekea hana busara na ana tabia za kitoto.

Jokakuu, what if kama ni kweli (according to Msigwa)? Yanapaswa yafunikwe?
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,139
2,000
Jokakuu, what if kama ni kweli (according to Msigwa)? Yanapaswa yafunikwe?

..Ni vizuri kuwa MUUNGWANA.

..kama huna uhakika 100% ni afadhali ukosee kwa kusema sio kweli, halafu igundulike kwamba ni kweli.

..Lakini ukisema kwamba ni kweli, halafu ikagundulika sio kweli, utakuwa umeharibu sifa na maisha ya watu.

..Gerson Msigwa ni mtumishi wa SERIKALI nadhani amepotoka kimaadili ktk hiki alichokifanya.
 
sysafiri

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
1,089
2,000
Hapa sasa inaleta mkanganyiko! Kama habari za gazeti hilo hazikuwa za kweli kwa nini Zitto na Maalim (the late) hawafungua kesi Mahakamani dhidi ya Gazeti hilo lililochapisha habari hizo?
Kama habari hazikuwa za kweli lakini wakapuuzia ndiyo inawapa baadhi ya watu kuamini.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,679
2,000
CCM walifungua kesi mahakamani hadi Raia mwema wakafungiwa kwa kuandika Hamza wa CCM ?
Hapa sasa inaleta mkanganyiko! Kama habari za gazeti hilo hazikuwa za kweli kwa nini Zitto na Maalim (the late) hawafungua kesi Mahakamani dhidi ya Gazeti hilo lililochapisha habari hizo?
Kama habari hazikuwa za kweli lakini wakapuuzia ndiyo inawapa baadhi ya watu kuamini.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,968
2,000
..Ni vizuri kuwa MUUNGWANA.

..kama huna uhakika 100% ni afadhali ukosee kwa kusema sio kweli, halafu igundulike kwamba ni kweli.

..Lakini ukisema kwamba ni kweli, halafu ikagundulika sio kweli, utakuwa umeharibu sifa na maisha ya watu.

..Gerson Msigwa ni mtumishi wa SERIKALI nadhani amepotoka kimaadili ktk hiki alichokifanya.
Msigwa hana adabu
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,968
2,000
Sasa mbona wa kina Zitto hawakubisha? Hizi story za hivi nazo jamani ni za kuwaachia wenyewe watajwa! Dunia ina ushenzi mwingi sana kutoka kwa watu hata usiowategemea. Pengine Msigwa amemaanisha kabisa kuwa waliihakiki hii habari.
Ndiyo maana kale kasufiani kamekaa laini laini kumbe kanatafunwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom