Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,096 Reaction score 137,106 Sep 12, 2025 Thread starter #81 Ghiti Milimo said: Wana Yanga, wametuzodoa sisi tuliomkaushia Msigwa juzi! Wana Yanga, hawaaminiki! Wametugeuka! Click to expand... Vipi, walishangilia? Bahati mbaya nilitoka kidogo, na kurejea wakati mpira ndiyo unaanza.
Ghiti Milimo said: Wana Yanga, wametuzodoa sisi tuliomkaushia Msigwa juzi! Wana Yanga, hawaaminiki! Wametugeuka! Click to expand... Vipi, walishangilia? Bahati mbaya nilitoka kidogo, na kurejea wakati mpira ndiyo unaanza.
Lisa Rina JF-Expert Member Joined Dec 3, 2010 Posts 3,338 Reaction score 7,222 Sep 12, 2025 #82 Tate Mkuu said: Vipi, walishangilia? Bahati mbaya nilitoka kidogo, na kurejea wakati mpira ndiyo unaanza. Click to expand... Azam walirekodi sauti hatukushangilia wala nini
Tate Mkuu said: Vipi, walishangilia? Bahati mbaya nilitoka kidogo, na kurejea wakati mpira ndiyo unaanza. Click to expand... Azam walirekodi sauti hatukushangilia wala nini
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,470 Reaction score 132,909 Sep 12, 2025 #83 Ukiwa shabiki wa simba na Yanga ni lazima uwe na matatizo ya akili
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,397 Reaction score 10,528 Sep 12, 2025 #84 Tate Mkuu said: Vipi, walishangilia? Bahati mbaya nilitoka kidogo, na kurejea wakati mpira ndiyo unaanza. Click to expand... Wameshangilia sana sana. Rangi halisi ya Vyura FC imedhihirika leo.
Tate Mkuu said: Vipi, walishangilia? Bahati mbaya nilitoka kidogo, na kurejea wakati mpira ndiyo unaanza. Click to expand... Wameshangilia sana sana. Rangi halisi ya Vyura FC imedhihirika leo.