DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Huwa tunatofautiana maeneo mengi hasa ya kishabiki, ila katika hili nakuunga mkono.Kwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na kuwasikilizisha sauti za Bosi wake kwenye kipindi hiki cha kampeni zilizojaa hila, uonevu, ukandamizaji, mauaji, utekaji, unyanyasaji, rushwa, ubabaishaji, na kila aina ya ujinga! AZOMEWE yeye na huyo Bosi wake.
Kwanza huyu jamaa siyo rafiki wa wapenda maendeleo na mabadiliko ya kweli ndani ya hii nchi. Na ikumbukwe ni mwanachama wa jamii forums! Lakini ndiyo mtu huyu huyu aliyetoa hadharani kauli ya dharau kwa Mkurugenzi wa jamii forums Comrade Maxence Melo, pale tu alipotoa taarifa ya kuvamiwa kwa ofisi za jamii forums wiki chache zilizopita. Na bila shaka pia amehusika kwa namna moja au nyingine kufungiwa kwa huu mtandao muhimu kwa jamii, kwa sababu tu ya ubinafsi wao.
Ndugu zangu wapenda michezo, kamwe msikubali wanasiasa kuja kutuharibia furaha yetu. Hawa watu wanatusababishia sana msongo wa mawazo. Na michezo ndiyo inayo tusaidia kupunguza. Sasa wakija kutuvamia na huko, maana yake tutakosa kwa kukimbilia. Na ikitokea na Injinia Hersi naye akaamua kubeba hilo jukumu kwa sababu ya kujipendekeza kwake; na yeye AZOMEWE vizuri kabisa.
MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.
ccm sasa muda wote wanafanya maigizo, yaani muda wote ni kama wapo location wanafanya cinema,hakuna uhalisia, kila eneo wanaficha ukweli na kutumia mabavu ionekane wanakubalika, kila sehemu ni setup...Kabisa mkuu, hiko ndo watakachoandaa, kuweka watu wao na cameraman kumulika walipo.
Hovyo kabisa.
Tatizo lenu mnapenda vya bure.Naunga mkono hoja mkuu yule jamaa jana kadamnasi imemkalia kimya nilifurahi sana maana Kila kitu mama mama mama wanatusumbua sana
Hakuna cha bure wala nini! Hizo pesa bado zimetokana na kodi/ raslimali zetu. Ardhi ni mali ya wananchi! Na siyo mtu mmoja. Kwa hiyo hakuna kutishana hapa. Yanga ilikuwepo kabla ya GSM na Injinia Hersi. Na itaendelea kuwepo daima.Tatizo lenu mnapenda vya bure.
Msipokee fedha au ndege au ardhi kama ya Jangwani toka serikali au kwa mwanasiasa.
Kapuuzwa na anazidi kupuuzwa na wananchi, huku chini mtaani hata wale wasio na upeo mpana juu ya mambo ya kisiasa au elimu ndogo hawamtaki kabisa, sasa daraja hilo limemkataa je daraja la kati lenye wasomi wengi wasio na ajira??? Hilo la juu tunajua ni wanufaika wa utawala huu nao ni wachacheHuyu mama sioni akimaliza miaka mitano ijayo, hichi kitu hakijawah tokea Tanzania
Nimeshangaa kijijini kwangu ambako ambako miaka nenda ccm ilikuwa haina mpinzani! Leo hii wananchi wanasema huyu mama hawamtaki kwa sababu amesababishia maisha yao kuwa magumu, ameuza bandari kwa Waarabu, nk.Kapuuzwa na anazidi kupuuzwa na wananchi, huku chini mtaani hata wale wasio na upeo mpana juu ya mambo ya kisiasa au elimu ndogo hawamtaki kabisa, sasa daraja hilo limemkataa je daraja la kati lenye wasomi wengi wasio na ajira??? Hilo la juu tunajua ni wanufaika wa utawala huu nao ni wachache
Maza hapendwi na kila siku anaongeza asilimia ya kutopendwa
Na watu wa vijijini wakiweka msimamo mpaka uwahamishe sio kazi rahisi hivyoNimeshangaa kijijini kwangu ambako ambako miaka nenda ccm ilikuwa haina mpinzani! Leo hii wananchi wanasema huyu mama hawamtaki kwa sababu amesababishia maisha yao kuwa magumu, ameuza bandari kwa Waarabu, nk.
Hakika nilishangaa sana! Sijui ni nani amewaambukiza hii sumu.
Ndugu ni lazima achukiwe sbabu hajawai kuchaguliwa na watu kila mahali anajipitisha kwa force huyu mtu sijui anachotutakia Watanzania ni kipi hasa!Kapuuzwa na anazidi kupuuzwa na wananchi, huku chini mtaani hata wale wasio na upeo mpana juu ya mambo ya kisiasa au elimu ndogo hawamtaki kabisa, sasa daraja hilo limemkataa je daraja la kati lenye wasomi wengi wasio na ajira??? Hilo la juu tunajua ni wanufaika wa utawala huu nao ni wachache
Maza hapendwi na kila siku anaongeza asilimia ya kutopendwa
Nadhani anachukiwa hasa kwasababu ya hiyo dpworld, ufisadi, rushwa ukititimba yale yote enzi za msoga yamerudi tena na kuzidi, hiyo hasa ndo sababu hapendekiNdugu ni lazima achukiwe sbabu hajawai kuchaguliwa na watu kila mahali anajipitisha kwa force huyu mtu sijui anachotutakia Watanzania ni kipi hasa!
Ukute alishafanya mazoezi ya kuzomewa hivyo haoni aibuIla Gerson ana moyo mgumu, ingekua ndio mimi ile siku tu kuzomewa Udom...shughuli za kadamnasi ningekua nakwepa kwepa.