Wapinzani tanzania ni upuuzi wanashindwa kutumia mikusanyiko hiyo nao kufanya siasa kama ccm inafanya siasa kwenye mikusanyiko ya mipira ilitakiwa wapinzani kuitisha hata maandamano kupitia mipira yani mnawaambia watu waende kama mashabiki kisha wanakinukisha kama mlivyo tangaza kuwa siku ya uchaguzi itakuwa siku ya maandamanoKwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na kuwasikilizisha sauti za Bosi wake kwenye kipindi hiki cha kampeni zilizojaa hila, uonevu, ukandamizaji, mauaji, utekaji, unyanyasaji, rushwa, ubabaishaji, na kila aina ya ujinga! AZOMEWE yeye na huyo Bosi wake.
Kwanza huyu jamaa siyo rafiki wa wapenda maendeleo na mabadiliko ya kweli ndani ya hii nchi. Na ikumbukwe ni mwanachama wa jamii forums! Lakini ndiyo mtu huyu huyu aliyetoa hadharani kauli ya dharau kwa Mkurugenzi wa jamii forums Comrade Maxence Melo, pale tu alipotoa taarifa ya kuvamiwa kwa ofisi za jamii forums wiki chache zilizopita. Na bila shaka pia amehusika kwa namna moja au nyingine kufungiwa kwa huu mtandao muhimu kwa jamii, kwa sababu tu ya ubinafsi wao.
Ndugu zangu wapenda michezo, kamwe msikubali wanasiasa kuja kutuharibia furaha yetu. Hawa watu wanatusababishia sana msongo wa mawazo. Na michezo ndiyo inayo tusaidia kupunguza. Sasa wakija kutuvamia na huko, maana yake tutakosa kwa kukimbilia. Na ikitokea na Injinia Hersi naye akaamua kubeba hilo jukumu kwa sababu ya kujipendekeza kwake; na yeye AZOMEWE vizuri kabisa.
MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.
Mashabiki wa simba walimheshimu kwa kukataa kumshangilia. Ila kwa upande wa Yanga ningetamani yeyote atakaye jipendekeza kuleta siasa za kusikilizana simu uwanjani, azomewe yeye na huyo anaye lazimisha kusikilizwa.Nasikia jana sa100 kalia sana baada ya kuzomewa na mashabiki 60k wa Simba SC CLUB
Kwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na kuwasikilizisha sauti za Bosi wake kwenye kipindi hiki cha kampeni zilizojaa hila, uonevu, ukandamizaji, mauaji, utekaji, unyanyasaji, rushwa, ubabaishaji, na kila aina ya ujinga! AZOMEWE yeye na huyo Bosi wake.
Kwanza huyu jamaa siyo rafiki wa wapenda maendeleo na mabadiliko ya kweli ndani ya hii nchi. Na ikumbukwe ni mwanachama wa jamii forums! Lakini ndiyo mtu huyu huyu aliyetoa hadharani kauli ya dharau kwa Mkurugenzi wa jamii forums Comrade Maxence Melo, pale tu alipotoa taarifa ya kuvamiwa kwa ofisi za jamii forums wiki chache zilizopita. Na bila shaka pia amehusika kwa namna moja au nyingine kufungiwa kwa huu mtandao muhimu kwa jamii, kwa sababu tu ya ubinafsi wao.
Ndugu zangu wapenda michezo, kamwe msikubali wanasiasa kuja kutuharibia furaha yetu. Hawa watu wanatusababishia sana msongo wa mawazo. Na michezo ndiyo inayo tusaidia kupunguza. Sasa wakija kutuvamia na huko, maana yake tutakosa kwa kukimbilia. Na ikitokea na Injinia Hersi naye akaamua kubeba hilo jukumu kwa sababu ya kujipendekeza kwake; na yeye AZOMEWE vizuri kabisa.
MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.
Kwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na kuwasikilizisha sauti za Bosi wake kwenye kipindi hiki cha kampeni zilizojaa hila, uonevu, ukandamizaji, mauaji, utekaji, unyanyasaji, rushwa, ubabaishaji, na kila aina ya ujinga! AZOMEWE yeye na huyo Bosi wake.
Kwanza huyu jamaa siyo rafiki wa wapenda maendeleo na mabadiliko ya kweli ndani ya hii nchi. Na ikumbukwe ni mwanachama wa jamii forums! Lakini ndiyo mtu huyu huyu aliyetoa hadharani kauli ya dharau kwa Mkurugenzi wa jamii forums Comrade Maxence Melo, pale tu alipotoa taarifa ya kuvamiwa kwa ofisi za jamii forums wiki chache zilizopita. Na bila shaka pia amehusika kwa namna moja au nyingine kufungiwa kwa huu mtandao muhimu kwa jamii, kwa sababu tu ya ubinafsi wao.
Ndugu zangu wapenda michezo, kamwe msikubali wanasiasa kuja kutuharibia furaha yetu. Hawa watu wanatusababishia sana msongo wa mawazo. Na michezo ndiyo inayo tusaidia kupunguza. Sasa wakija kutuvamia na huko, maana yake tutakosa kwa kukimbilia. Na ikitokea na Injinia Hersi naye akaamua kubeba hilo jukumu kwa sababu ya kujipendekeza kwake; na yeye AZOMEWE vizuri kabisa.
MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.
nina wasiwasi wale waliomulikwa na camera wakiwa wanarusha mikono, watatekwa...Naunga mkono hoja mkuu yule jamaa jana kadamnasi imemkalia kimya nilifurahi sana maana Kila kitu mama mama mama wanatusumbua sana
Kesho inatakiwa kwenda na mabango ya FREE TUNDU LISU. NO REFORM NO ELECTIONWapinzani tanzania ni upuuzi wanashindwa kutumia mikusanyiko hiyo nao kufanya siasa kama ccm inafanya siasa kwenye mikusanyiko ya mipira ilitakiwa wapinzani kuitisha hata maandamano kupitia mipira yani mnawaambia watu waende kama mashabiki kisha wanakinukisha kama mlivyo tangaza kuwa siku ya uchaguzi itakuwa siku ya maandamano
Nasikia wanampango wa kuwa peleka uwanjani free wakati sie wengine tumetoa pesa zetuHakika babu! Lakini CCM watajaza polisi uwanjani ili wamshangilie mama yao!
Hawatokubali kilichotokea Siku ya SSC kijirudie.