Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.