Germany Will Return 'Dinosaur' Remains To Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Germany Will Return 'Dinosaur' Remains To Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by X-PASTER, Jul 9, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Germany Will Return 'Dinosaur' Remains To Tanzania

  setting up proper research facilities and structures or
  a museum in the village where the dinosaur originated


  [​IMG]

  (Xinhua) -- The governments of Tanzania and Germany will soon strike an agreement for the return to Lindi region in eastern Tanzanian of the remains of huge lizard species known as a dinosaur, which were taken to the European country during the colonial era, the local media reported on Wednesday.

  The dinosaur remains were discovered in 1912 at a village in Lindi region and were taken for preservation in Humbolt museum in Berlin , said the report.

  Answering questions at the parliament in Dodoma , the new capital in central Tanzania , Tanzanian Minister for Natural Resources and Tourism Ezekiel Maige said that the management of Germany Humbolt museum are more than ready to give back the remains of the dinosaur.

  The Tanzanian government had already initiated talks with the Humbolt museum management on the modalities of setting up proper research facilities and structures or a museum in the village where the dinosaur originated, according to Maige.

  “The agreement for the implementation of this project is now under discussions by both sides ( Germany and Tanzania )..most probably, it will be signed officially in three months’ times.

  “The agreement will include provisions for returning the dinosaur,” said Maige.

  Initiated by a Tanzanian delegation that visited Germany in April last year, the agreement provides for training of specialists in historical and cultural preservation of the lizards’ remains at the masters and doctorate level, according to the Tanzanian minister.
   
 2. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2014
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Lini Ujerumani Watarejesha Mabaki ya Mjusi Mkubwa (Dinosaur) Wetu.

  1.Wadau suala hili lilizungumzwa sana miaka michache iliyopita na kulikuwa na dalili nzuri. Lakini ni muda mrefu sasa sijaskia lolote huku hawa jamaa wakiendelea kupiga hela kwa mjusi wetu huyu.

  2.Nimefatilia historia ya mijusi hawa na kuona kumbe kuna mabaki mengine mengi zaidi ya wadudu hawa walioishi zaidi ya miaka milioni 240 iliyopita yalipatikana maeneo ya ziwa nyasa (nyasasaurus) lakini haijaelezwa mabaki yao yalipelekwa wapi na km nchi tunafaidika vipi.

  Naona km taifa tunapoteza pesa na historia ya nchi kirahisi hivi.Mwenye ufahamu wa haya mambo msaada pls.
   
 3. k

  kulinge Senior Member

  #3
  May 18, 2014
  Joined: Jan 11, 2014
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ili weje? Umekosa hoja za kujadili? Aisee kweli dunia ina vituko
   
 4. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2014
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  ni kweli waliwahi kuzungumzia bungeni miaka ya nyuma wakasema kwamba bado hatujaweza kuwa na uwezo wa kumtunza lakini ujerumani wanapata pesa nyingi kupitia utalii kwanini na sisi tusiwe tunafaidika na hizo pesa au miaka 50 ya uhuru tunashindwa kusimamia hicho kitu
   
 5. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2014
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Well. Dinosaur ni sumaku tosha ya utalii. Ni kiumbe ambae hajawahi kuonekana 'live' watu hupenda kushuhudia anafananaje.

  Nina hakika siku moja Magufuli akipita hapo wizarani (utaliii) hazitapita wiki 2 yule mdudu atarudishwa hapa kwa spidi ya upepo!
   
 6. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2014
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45

  Wanatuvuta maskio.wajing.. ndio waliwao
   
 7. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2014
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  wabunge wetu nao vilaza huwa hawafatilii mambo kama hayo wao wameng'ang'ania mambo ya siasa juzi kwenye bajeti ya wizara ya utalii ndio ilikuwa wakati muafaka kuuliza hayo mambo
   
 8. marxlups

  marxlups JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2014
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 7,286
  Likes Received: 2,445
  Trophy Points: 280
  Watarudisha siku serikali ikitoka mifukoni mwa wajerumani
   
 9. King Octavian

  King Octavian JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2014
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 404
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 60
  tutumie vizuri kwanza vilivyomo ndo tuangalie vya nje, kwanza vilivyomo tu vinafaidisha wachache japo ni vingi faida hazionekani, iko kimoja mimi leo nitasema cha nini? ni kama kumpigania jirani yangu aezeke bati nyumba yake wakati yangu bado ya manyasi...waache wajerumani waingize pesa zinazosaidia jamii nzima, kuliko likiletwa huku kwetu kuja kutakatisha familia za akina fulani
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2014
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/328836-brachiosaurus-dinosaur-atarudishwa-lini-tz.html
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2014
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wamarudishe Dayanasori wetu.
   
 12. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2014
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
 13. Left back-gunner

  Left back-gunner JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2014
  Joined: Feb 8, 2013
  Messages: 574
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  weka picha ya Mjusi wetu wasituletee ujinga bana!
   
 14. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2014
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ni sahihi mkuu. ila kuna maeneo mawili tofauti. huyo wa ujerumani ni yule alipatikana lindi na tayari alishahojiwa bungeni lakn kuna hao wengi zaidi waliopatikana ziwa nyasa haieleweki walipelekwa wapi
   
 15. luck

  luck JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2014
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  du kumbe kwa wazee wa gesi! patachimbika
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2014
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kinachofanya mtake mjusi arudishwe ni kukosa kwenu taarifa sahihi tu.

  Ili kumtunza mjusi kuna taaluma na gharama zinazohusiana.

  Mnayo bajeti ya kumtunza mjusi?
  Mnayo technical know how ya kumtunza mjusi.

  Mjusi yuko Berlin pale. Wajerumani wameandika kuwa mjusi katoka Tanganyika. Hakuna wizi hapo.

  Kinachotakiwa ni ushirikiano na wajerumani katika kumtumia mjusi kuitangaza Tanzania sio mpaka mjusi awe physically nchini.

  By the way, pale Berlin mjusi anaonwa na watu wengi kuliko iwapo angekuwa Bongo. Kwahiyo mjusi anaitangaza vizuri zaidi Tanzania akiwa Berlin.

  Vilevile tafiti zinaonyesha mijusi wengine wapo Lindi chini ya ardhi. Ebu tufikirie kuwachimba hao walio ardhini kabla hatujamlilia aliyetafutwa na wajerumani na kuchimbwa na vibarua watanganyika (hawa vibarua picha zao zipo pale Berlin).
   
 17. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2014
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Na Nyie redusheni meli yao MV Liemba maana mnapiga hela hadi leo... Mla huliwa...

  Weka Picha
   
 18. black sniper

  black sniper JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2014
  Joined: Dec 10, 2013
  Messages: 5,779
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Fukua wengine wapo wengi tu halafu tuone utafaidika na nini? Hapo huna hoja unafikiri angekuwa hapa ungemuweka wapi let me think labda barabarani au kwako unaonaje
   
 19. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2014
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 14,419
  Likes Received: 2,519
  Trophy Points: 280
  hebu tudai mambo ya msingi,,,tuna viumbe wengi hai ambao kwenye utalii wana tija na faida wanapiga watu ndo iwe mabaki????tuhangaike na tembo wetu na twiga wetu walio hai,hao wajeruman wenyewe wanaacha mabak ya mjus wanakwenda mikumi
   
 20. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2014
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 13,544
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  ....ujangili umezidi Tanzania si ajabu akiletwa majangili yatampora !!!!
   
Loading...