Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,640
Ndiyo maana nikasema TZ na siyo Afrika, sisi TZ ni special case na Ukoloni TZ ni tofauti na nchi nyingine za Kiafrika, ni kweli kuna nchi nyingi za Kiafrika ambazo rasilimali zake ziliiibiwa na zinaendelea kuibiwa kama Kongo, Zambia, Kenya, Botswana, Nigeria n.k lkn siyo TZ Wazungu hawakuchukua chochote TZ kwanza waliwekeza klk walivyochukua!
Na isitoshe rasilimali kubwa ya TZ imechukuliwa na Mzungu baada ya Uhuru na siyo kabla, madini yetu kama Almasi Williamson Mwadui tulimpa Mzungu baada ya Uhuru hata dhahabu yetu na Rasilimali nyingine tumewapa Wageni baada ya Uhuru na siyo kabla!
Kama mzungu alishindwa chukua raslimali wakati wa ukoloni anawezaje chukua almas,dhahabu,n.k baada ya nchi kupata uhuru?.....hawa jamaa walitupga sana mali zetu ndo mana zikatokea vita kama majimaji.