King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Vyura wetu walirudi au bado?
walirudisha vitoto wakubwa hawakurudi
Vyura wetu walirudi au bado?
Mjusi?
Hivi hadi tunalia lia hapa, je malalaimiko yalishapelekwa wizara husika?
Na Nyie redusheni meli yao MV Liemba maana mnapiga hela hadi leo... Mla huliwa
Hili jambo anaweza kufikishiwa waziri wa maliasili na utalii akishilikiana na waziri wa mambo ya nje wakalifanyia kazi Mara moja. Vitu vingi sana vinachukuliwa hapa nchini kwa faida ya hao waliobahatika Kuwa ndani ya system ya uongozi wa hii nchi. Utakapopatikana uongozi wa haki nje ya mfumo huu wa kiccm, vitarudishwa vingi hapa na wananchi watabaki midomo wazi kwakushangaa kuwa hata hiki na chenyewe kilichukuliwa?!Not real sure mkuu, ila hii kitu ilishawahi fikishwa bungeni, ilivyopigwa chini kwakeli sikuelewa elewa
.made in mby city.
Hili jambo anaweza kufikishiwa waziri wa maliasili na utalii akishilikiana na waziri wa mambo ya nje wakalifanyia kazi Mara moja. Vitu vingi sana vinachukuliwa hapa nchini kwa faida ya hao waliobahatika Kuwa ndani ya system ya uongozi wa hii nchi. Utakapopatikana uongozi wa haki nje ya mfumo huu wa kiccm, vitarudishwa vingi hapa na wananchi watabaki midomo wazi kwakushangaa kuwa hata hiki na chenyewe kilichukuliwa?!
Haya ndo mambo ya kutetea. Kule mjengoni kimya . Wao ni mungano serikali sijui ngapi ngapi, yasokuwa hata maana wanaacha vitu vya uchumi kama hivi.
Nakupongeza sana sana kukumbuka mali ya taifa lako.
Sasa tutazame viongozi wangapi watatetea mali asili kama hizi, wao twiga tu basi