Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 667
nimeambiwa wapi? Kwani Ikulu imesema huyu German kaja kufanya nini? Nothing!Kwa hiyo wewe umeambiwa kaja kuingia mikataba au unakisia tu
Subiri kidogo utaona Ikulu inatoa ki statement cha kuzishi cha "kuimarisha mahusiano na kudumisha udugu wa wa Germani na Watanzania...." Some gibberish like that, wait.




