na bi angela anakuja wiki ijayo
Kaja Gheto na yeyeAmefuata nchi yenye maziwa na asali
Ndugu listen, tunalalamika kwa vile huwa hatuambiwi mgeni kaja kwa lipi, kiongozi wa Ujerumani hawezi kuja Africa "kuimarisha mahusiano..." na sababu nyingine za kizushi tunazoambiwa. Wenzetu wanakuja na agenda, haji hapa German leader kutalii talii tu.Rais akienda nje tunalalamika wageni wakija tunalalamika pia Jena lipi sasa?
acheni kelele mgeni akija kwako mtendee mema!!! mkaribishe!!!
what does that got to do with us? Xchange rate ya Euro ni monetary policy ya Europe ambayo ipo kwa manufaa yao wao, huwezi kutegemea nchi nyingine itengeneze monetary policy ya kuku favor wewe!Wajerumani wana kesi ya kujibu, iweje wachapishe Euro 60 billion kila wiki kwa miezi sita wakati uchumi wao uko hoi kuwapa masikini wa Ulaya? Wabadili exchange rate ya Euro bana tumechoka kudhulumiwa!
kwa nini asiende Zambia au Burkina Faso? hapa anakuja kufuata nini?
Ndugu listen, tunalalamika kwa vile huwa hatuambiwi mgeni kaja kwa lipi, kiongozi wa Ujerumani hawezi kuja Africa "kuimarisha mahusiano..." na sababu nyingine za kizushi tunazoambiwa. Wenzetu wanakuja na agenda, haji hapa German leader kutalii talii tu.
Tunataka kujua mikataba anayokuja kutuingiza. Simple as that.
Amefuata nchi yenye maziwa na asali