mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
Kavaaje leo.Wakuu mnaonaje hili swala la Rais wa Ujerumani kutembelea nchi yetu?? JOACHIM GAUCK
Kavaaje leo.Wakuu mnaonaje hili swala la Rais wa Ujerumani kutembelea nchi yetu?? JOACHIM GAUCK
Kavaaje leo.
Mbona hawajampa promo?
sasa tuwajadili hawa Ujerumani na kujua kaisi gani wanaleta hapa Bongo na kiasi gani wanakiondoa
kwa nini asiende Zambia au Burkina Faso? hapa anakuja kufuata nini?
Kuweni macho nendeni Airport mkae pale kwasababu Twiga na Tembo wanaeeza kupandishwa wazima wazima kuweni macho.
swissme
kwa nini asiende Zambia au Burkina Faso? hapa anakuja kufuata nini?
Hana muda wa kupoteza,rais wa ujerumani siyo public figure ndiyo maana hajulikani yaani hata dovutwa na hashim rungwe wanamzidi kwa umaarufu
Ndugu listen, tunalalamika kwa vile huwa hatuambiwi mgeni kaja kwa lipi, kiongozi wa Ujerumani hawezi kuja Africa "kuimarisha mahusiano..." na sababu nyingine za kizushi tunazoambiwa. Wenzetu wanakuja na agenda, haji hapa German leader kutalii talii tu.
Tunataka kujua mikataba anayokuja kutuingiza. Simple as that.[/QUOTE![]()
carl peters mpya with bogus treaty this time against educated president but with the same level of thinking of the likes of mangungo