Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Wanatoa tu mapovu mengi yasiyo na msingi au sijui fikra finyu kuna wengine hawajui km uzi anao upost ulishapita humu

Kingine km unavyosema hii story kwa humu haina mwenyewe si nani wala cha nani kila mtu kanyapia mahali ndo kuipost,niliona hii kitu channel ya Discovery history kwa picha na videos documentary nzima sasa ile sijui ilikopiwa humu!!!??

Haiwezekani mtu amwibie mtu uzi humu aupost tena humu humu,huyu labda ni wa juzi tu jf au hajui km hii nyuzi ilishawahi kupita humu....yani wengine wanamsakama bure jamaa ka copy uzi ili sijui tuwajue km mpo so active
Ndio ushangae sasa ,,unajua tatizo nini ni wengi hawajui pa kuvipata ndio maana unaona wanaona bold anajua ,wakati nae kuna sehemu kavitoa na hajatoa credit wala source,eti kitu kikiletwa tu humu umeiba kwa bold wakati vitu vimo mtandaoni na sio kwamba kaviweka yeye nae kavikuta,watu waache ushamba na wajifunze, kuna huyu Ontario ye anaandika kabisa mwenyewe toka kichwanii na vitu vingi anatoa vyq kunufaisha mfano uzi wa forex ,,
Acheni watu walete vitu sio kila mtu kamkopy huyo bwana nae mkopiji mzuri tu
 
Kucopy sawa...kama bold kacopy huku alichofanya pengine ni kutafsiri tu,lakini ikitokea mwingine tena anacopy copy aliyocopy the bold,tena bila kubadili hata neno halafu anaweka kwenye mtandao huohuo inakuwa tatizo kidogo,watu wanatoka povu siyo kisa kacopy,ila kisa kacopy halafu kaweka humu humu jf,ambako uzi kama huu upo.
 
Haina haja kumlaumu, Kama wote ni wale wale copy and pasting, waungane na huyo bold wawe wana copy pamoja ili kusitoke uzi kujirudia mara mbili, inawezekana hawakupeana taarifa ya nani awe wa kwanza kupost
 
Huko discovery iliandikwa kwa Kiswahili?

Wanatoa tu mapovu mengi yasiyo na msingi au sijui fikra finyu kuna wengine hawajui km uzi anao upost ulishapita humu

Kingine km unavyosema hii story kwa humu haina mwenyewe si nani wala cha nani kila mtu kanyapia mahali ndo kuipost,niliona hii kitu channel ya Discovery history kwa picha na videos documentary nzima sasa ile sijui ilikopiwa humu!!!??

Haiwezekani mtu amwibie mtu uzi humu aupost tena humu humu,huyu labda ni wa juzi tu jf au hajui km hii nyuzi ilishawahi kupita humu....yani wengine wanamsakama bure jamaa ka copy uzi ili sijui tuwajue km mpo so active
 
Kwanini na yeye asitafsiri kwa maneno yake?

Kucopy sawa...kama bold kacopy huku alichofanya pengine ni kutafsiri tu,lakini ikitokea mwingine tena anacopy copy aliyocopy the bold,tena bila kubadili hata neno halafu anaweka kwenye mtandao huohuo inakuwa tatizo kidogo,watu wanatoka povu siyo kisa kacopy,ila kisa kacopy halafu kaweka humu humu jf,ambako uzi kama huu upo.
 
Kiongozi kama The bold hajui basi tunaomba na wewe tafuta kitu kizuri, kaa masaa mawili manne ututafsirie halafu turushie.

Ndio ushangae sasa ,,unajua tatizo nini ni wengi hawajui pa kuvipata ndio maana unaona wanaona bold anajua ,wakati nae kuna sehemu kavitoa na hajatoa credit wala source,eti kitu kikiletwa tu humu umeiba kwa bold wakati vitu vimo mtandaoni na sio kwamba kaviweka yeye nae kavikuta,watu waache ushamba na wajifunze, kuna huyu Ontario ye anaandika kabisa mwenyewe toka kichwanii na vitu vingi anatoa vyq kunufaisha mfano uzi wa forex ,,
Acheni watu walete vitu sio kila mtu kamkopy huyo bwana nae mkopiji mzuri tu
 
Mbona Shigongo na makala zake mlikuwa mnanunua sana au mnafikiri alikuwa anataka wapi ,ok ila mimi naamin katika akili 2 huleta uhuru wa kifikra.
Inawezekana hata hujui tatizo lako.
Kumbuka hata The Bold hizi story anazitoa kwenye documentary mbalimbali coz huko zinapatikana, lakini huwezi kucopy kazi ya mtu mstari kwa mstari bila kubadilisha hata neno halafu utaleta hapa hapa JF utegemee watu wakuelewe. Ingia mitandao mbalimbali utapata story zingine au angalia Discovery chanel wanaonyesha matukio mengi tu huko utapata story nyingine.
Hii story ungeileta kwa kutumia muundo mwingine wa uandishi kazi yako ingekuwa na mashiko.
Tatizo lenu wengi huwa mna copy kila kitu
 
Mkuu,hakukataza ngono bali mimba,na hata hiyo mimba hajakataza bali kuendelea na masomo baada ya kujifungua.

Hakuna nabiii,mtume,binadamu au malaika aliye zuwia watu kufanya ngono na dunia nzima ikatii.
Sasa kama amesha jifungua unamnyimaje elimu ??? Mbona wavuta bangi, mashoga wezi wapo mashuleni wakipata elimu ? Je hizo siyo zambi ??? ELIMU NI HAKI YA MSINGI KWA BINADAMU.
 
The bold umemkosea nini dada Geahabibu? Mimi hivi viumbe naviheshimu sana, hata siwezi kunyanyua mkono kupiga kofi.
Hahahahah.!!! Mkuu huwa nasomaga comment za huyu binti na mwenzake mwingine fulani hivi huwa nabakia kucheka tu...

Huwa nashangaa inakuwaje mtu awe na chuki kiasi hiki ukizingatia kwamba hujawahi kumkosea, sijawagi hata kusemeshana naye kwenye thread yoyote, sijawahi hata kummention wala kumquote... Yani the only reason mpaka nimemjua ni kutokana na comment zake za hate iliyopitiliza...

Inashangaza sana wallah... Ingekuwa kidume mwenzangu ningesema labda anamzimia Cheupe wangu... Sasa huyu bibie sijui hata ni nini kinamsibu moyoni..
 
Back
Top Bottom