Yurayezekiel
Member
- Dec 3, 2018
- 81
- 60
Mwaka 1971, Mfungwa Gerald mayo alifungua kesi dhidi ya shetani na watumishi wake. Kesi yenye jina Gerald mayo v satani and his staff, na namba 54 F.R.D 282 (w.d.p.a1971). Mlalamikaji alikuwa anamshtaki shetani kwa kuweka vikwazo vingi katika maisha yake na kumsababishia maisha magumu.
Jaji alifuta kesi hiyo kwa kusema kuwa mshtakiwa sio raia wa marekani na hapatikani nchini humo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaji alifuta kesi hiyo kwa kusema kuwa mshtakiwa sio raia wa marekani na hapatikani nchini humo.
Sent using Jamii Forums mobile app