Gerald Hando & Babra Hassan Msiogope Jamii Forums!

Sio kweli Viraza na wanaofikiria kwa kutumia Masaburi kama Hando hawaruhusiwi
 
Tena huyu Hando alichange sana alipoendaga Dodoma kufanya mahojiano na Pinda wakati fulani. Dah aliporudi kutoka huko aisee nahisi atakuwa aliwekwa sawa, jamaa anaboa sana hana ethics kabisa za uandishi

Issue ya Lwakatare kaishikia bango utafikiri yeyey ndo aliyei-upload u-tube. Siku ile aliicheza kama mara kumi hivi. Kibaya ni kwamba yeye siku hizi hataki kabisa serikali ikosolewe, mbona zamani hakuwa hivi?
 

Hahahahaaa mkuu nimebaki niki-smile tu..............!
 
Millard ayo! Jembe langu respect. mkata maua wa habashi sijui kwa nini kaliacha limtumbwi!
 
wale wana majibu mepesi, humu kwa magreat thinkers itakula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…