Gerald Hando avujisha sexy photos

Status
Not open for further replies.
i dont see any sex photo. by the way kende ar u she or he
 
Last edited by a moderator:
Ndo nini sasa kutuonyesha makwapa yake?
Hivi ni kweli vijana wetu wamekuwa ni wa namna hiii?
Wewe uliyeleta picha hiz hapa una nia gani ?
Je wewe mleta picha na huyo mpigwa picha mna tofauti gani?
 
Kichwa chako cha habari na picha zanyewe tofouti kabisa kabisa aisee!!!!!
 
simple selfies.dont see any nudity.useless thread.
 
vipi kwani kijana sio Riziki?
 
Wapi nimeandika Sex?Mitanzania inawaza ngono tu dooh...!!!
haijalishi sexy or sex, jibu swali wewe wa kike au wa kiume? naona umevutiwa na Hando je usha mwambia?
 
Mkuu thanx kwa thread na evidence ya picha,
Lakini mkuu unaweza kutuambia maana ya hiyo ID yako kende ?
 
Ndio tabia ya wanakilaud kuna kasichana kengine huwa kanatundika picha za utupu mitandaoni kila kukicha
 
eeeeh we kweli kende akili zako za uvunguni vunguni tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ