Alishatatua tatizo gani??Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;
1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Kila mtu anajipigia promo kwa aina yake.Hello GT!

Akikujibu nishtueAlishatatua tatizo gani??
Oktoba 2025Mmeanza fix zenu. Uchaguzi utoke wapi kwanza?
DuuhUnajipigia promo! Nafasi ile inamtaka mfano wa Kassimu! Mkali asiye na mchezo na watumishi wazembe! Mwenye uwezo wa kufuatilia miradi na kuwawajibisha wanaokwamisha miradi.
Sijasoma thread yote lakini kwankichwa tu cha habari, nakubaliana na wewe 100%Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;
1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Labda awe PM wa mabasi ya championHello GT!

Je ataruhusiwa kuingia na pombe ofisini? Kama hivyo itakuwa sawaHello GT!