George Michael week 8 Lupango

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Mwanamuziki maarufu wa Uingereza amehukumiwa wiki 8 jela kwa kugonga gari lake akiwa katika mahanjamu ya cannabis, pamoja na kifungo atalipa faini ya £1,250 za Uingereza na kufungiwa kuendesha gari kwa miaka 5. Hata hivyo lupango atakaa wiki 4 tu, na kumalizia uraini wiki 4 chini ya uangalizi. Michael alitamba sana enzi zilee na vibao vyake kama Careless wispers na Club Tropicana.
 
Back
Top Bottom