MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
View attachment 519251View attachment 519253
Kada wa CCM na mwandishi wa kituo cha ITV mkoani Mara anayetambulika kwa jina la George Marato anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kufanya fujo na kuvunja vioo vya gari kama inavyoonekana kwenye picha.
Kwa kweli, mimi faster tu, aende zake ili awe huru na huyo jamaa, yaani wanawake wote hawa hadi wanafika hatua ya kutembea uchi barabarani ili tu watushawishi eti nije kumng'ang'ania mmoja tu! Akwende huko!Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.