TANZIA George Foreman Afariki na Miaka 76

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,793
Reaction score
24,386
Mwamba wa masumbwi George Foreman aliyekuwa akiwadumbua wapianzani wake raundi za mwanzo tu na ambaye alitolewa kamasi na Muhammad Ali mwaka 1974 kwenye pambano la Rumble in the Jungle kule Kinshasa Zaire (wakati huo) naye ametangulia mbele ya haki leo muda mfupi uliopita kabla sijaweka post hii.

Sasa George, Joe na Muhammad wataendeleza mjadala huu wtakapokutana tena huko walikofikia

View: https://www.youtube.com/watch?v=IlB-NRQv3OY&t=197s

===
George Foreman, a heavyweight boxing champion who returned to the sport to regain his title at the improbable age of 45, and parlayed his fame and amiable personality into a multimillion-dollar grill business, died on Friday night at a hospital in Houston. He was 76.
His family announced his death on his Instagram account. Roy Foreman, George’s brother, said the cause of death was not known.
When Foreman returned to the ring after 10 years away, there was skepticism that a fighter of his years could beat any younger fighter, much less come back to the top of the game. But in 1994, he beat the undefeated Michael Moorer to reclaim the world title, shocking the boxing world.
Foreman’s career spanned generations: He fought Chuck Wepner in the 1960s, Dwight Muhammad Qawi in the ’80s and Evander Holyfield in the ’90s.

With Joe Frazier and Muhammad Ali, Foreman embodied a golden era in the 1970s, when boxing was still a cultural force in America. The three great champions thrilled fans with one classic bout after another. Foreman was the last living member of the trio.

Source: NewYork Times
 
RIP George Foreman
Screenshot_20250322_051541_Instagram.jpg
 
George apumzike kwa amani

George ni moja ya mabondia bora kabisa waliotokea kipindi cha dhahabu ama boxing golden time, miaka ya 70 hadi 90

Ingawa mimi sio mpenzi wa George lakini kama mpenzi wa boxing, napenda sana mabondia wa miaka ya 70 hadi 90.

Mabondia wangu bora wa miaka ya 70 ni Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Eston Assassin Larry Homes na wengine.

Wapenzi wa ngumi tutaendelea kumkumbuka Big George Foreman.
 
Mbona hapo kwenye hiyo interview alikuwa anaonekana mtulivu sana.

Au atakuwa alishaanza kuumwa?
Ali alikuwa na kelele wakati wa kupromote fight; nje ya hapo alikuwa ni mtu powa sana. Hapo unawaona Frazier na Foreman wanampa heshima kwa sababu ya ukweli huo. Wakati Ali akiwa na matatizo ya kifedha baada ya leseni yake kufutwa, ni Frazier aliyekuwa anampa fedha za kujikimu.
 
Ali alikuwa na kelele wakati wa kupromote fight; nje ya hapo alikuwa ni mtu powa sana. hapo unawaona Frazire na Forem, wanampa heshima kwa sababu ya ukweli huo. Wakati Ali akiwa na matatizo ya kifedha baada ya leseni yake kufutwa, ni Frazier aliyekuwa anampa fedha za kujikimu.
Kweli alikuwa Muungwana, changamoto ya mchezo wao, kupata ugonjwa wa stroke ama kiharusi imekuwa rahisi kutokana na punches wanazopigana kichwani.

Bora kule Marekani wanalipwa vizuri, ukija huku kwa akina Twaha Kiduku ni kujitafutia Kifo cha mapema.

Unaweza usifike miaka 70
 
Mwamba wa masumbwi George Foreman aliyekuwa akiwadumbua wapianzani wake raundi za mwanzo tu na ambaye alitolewa kamasi na Muhammad Ali mwaka 1974 kwenye pambano la Rumble in the Jungle kule Kinshasa Zaire (wakati huo) naye ametangulia mbele ya haki leo muda mfupi uliopita kabla sijaweka post hii.

Sasa George, Joe na Muhammad wataendeleza mjadala huu wtakapokutana tena huko walikofikia

View: https://www.youtube.com/watch?v=IlB-NRQv3OY&t=197s

===
George Foreman, a heavyweight boxing champion who returned to the sport to regain his title at the improbable age of 45, and parlayed his fame and amiable personality into a multimillion-dollar grill business, died on Friday night at a hospital in Houston. He was 76.
His family announced his death on his Instagram account. Roy Foreman, George’s brother, said the cause of death was not known.
When Foreman returned to the ring after 10 years away, there was skepticism that a fighter of his years could beat any younger fighter, much less come back to the top of the game. But in 1994, he beat the undefeated Michael Moorer to reclaim the world title, shocking the boxing world.
Foreman’s career spanned generations: He fought Chuck Wepner in the 1960s, Dwight Muhammad Qawi in the ’80s and Evander Holyfield in the ’90s.

With Joe Frazier and Muhammad Ali, Foreman embodied a golden era in the 1970s, when boxing was still a cultural force in America. The three great champions thrilled fans with one classic bout after another. Foreman was the last living member of the trio.

Source: NewYork Times

RIEP, George Foreman
Kamsalimie Cassius Clay aka Muhammad Ali.
 
Back
Top Bottom