TANZIA George Foreman Afariki na Miaka 76

TANZIA George Foreman Afariki na Miaka 76

Mwamba wa masumbwi George Foreman aliyekuwa akiwadumbua wapianzani wake raundi za mwanzo tu na ambaye alitolewa kamasi na Muhammad Ali mwaka 1974 kwenye pambano la Rumble in the Jungle kule Kinshasa Zaire (wakati huo) naye ametangulia mbele ya haki leo muda mfupi uliopita kabla sijaweka post hii.

Sasa George, Joe na Muhammad wataendeleza mjadala huu wtakapokutana tena huko walikofikia

View: https://www.youtube.com/watch?v=IlB-NRQv3OY&t=197s

===
George Foreman, a heavyweight boxing champion who returned to the sport to regain his title at the improbable age of 45, and parlayed his fame and amiable personality into a multimillion-dollar grill business, died on Friday night at a hospital in Houston. He was 76.
His family announced his death on his Instagram account. Roy Foreman, George’s brother, said the cause of death was not known.
When Foreman returned to the ring after 10 years away, there was skepticism that a fighter of his years could beat any younger fighter, much less come back to the top of the game. But in 1994, he beat the undefeated Michael Moorer to reclaim the world title, shocking the boxing world.
Foreman’s career spanned generations: He fought Chuck Wepner in the 1960s, Dwight Muhammad Qawi in the ’80s and Evander Holyfield in the ’90s.

With Joe Frazier and Muhammad Ali, Foreman embodied a golden era in the 1970s, when boxing was still a cultural force in America. The three great champions thrilled fans with one classic bout after another. Foreman was the last living member of the trio.

Source: NewYork Times

Rip
 
Muhammad Ali, anaonekana ni mtulivu sana aliyekuwa anaongea Kwa upole sana.

Tofauti na sifa ya mabondia wengi walivyo

Pambano lake na George Foreman, Kwa upande wangu ndilo pambano kali nyakati zile
Hapana alikua ashaanza kuugua hiyo ule ugonjwa wa kutetemeka
 
Muhammad Ali, anaonekana ni mtulivu sana aliyekuwa anaongea Kwa upole sana.

Tofauti na sifa ya mabondia wengi walivyo

Pambano lake na George Foreman, Kwa upande wangu ndilo pambano kali nyakati zile
It from there mohamad ali alitake damage. Na akaanza kutetereka. Foreman ni moja ya heavy hit guys, ngumi nzito.

Ila mwisho wa siku this hawa jamaa ndio wame define boxing
 
It from there mohamad ali alitake damage. Na akaanza kutetereka. Foreman ni moja ya heavy hit guys, ngumi nzito.

Ila mwisho wa siku this hawa jamaa ndio wame define boxing
Huo mchezo wa kupigana ngumi za Kichwani sio mzuri kabisa, Kuna mtu niliwahi kumpiga ya kwenye sikio bahati mbaya

Hadi sasa anapata shida kusikia

Huo mchezo sio mzuri kabisa
 
Back
Top Bottom