TANZIA George Foreman Afariki na Miaka 76

TANZIA George Foreman Afariki na Miaka 76

Nikiwa Kiongozi namba 1 wa hii Nchi, nitaweka Sheria Kila msanii/athletic atakatwa kiasi fulani cha fedha kwaajili ya bima kubwa ya afya pamoja na pension.

Wanapitia hali mbaya sana wakistaafu
Yaani hela mbuzi wanayolipwa halafu uwakate tena? Inatakiwa mapromota ndio walazimishwe kuwakatia bima mabondia.
 
Mohamed alikua na maneno machafu na mdomo mchafu sana, alimdhalilisha sana Joe Frazier kwa kumuita nyani, yeye akawa anajifananisha na wazungu kisa kua light skin ama kua na light complexion na kusema Joe Frazier ni Nyani kisa yeye ana weusi zaidi kuliko yeye.

Mohamed Ali kwa ujumla alikua mtu wa hovyo. Mohamed Ali na Michael Jackson ni watu ambao jamii ya weusi tunapaswa kuwalaani na kuwakana kwenye jamii yetu. Ni watu wa hovyo kabisa.
Ni kweli Ali alimuita Frazier gorila kwa kuwa ana "sura mbaya", lakini hakusema kwamba yeye ni bora kwa sababu ni light skin, bali alijiita handsome. Alikuwa anataka kumuudhi Frazier ili asi-focus kwenye maandalizi. Na hili alilifanya kwa mabondia wengine akiwamo Sonny Liston but it wasn't a racial thing. Jambo hili lilimuudhi sana Frazier ingawa baadaye Ali alikuja kuomba radhi na Frazier akamsamehe. Kama Frazier mwenyewe alimsamehe wewe ni nani usiweze kusamehe?
 
No personal issue hapa mkuu. Imagine a black man giving a hate speach against another black man. Hii maana yake amedharau kabisa black race akiwemo na yeye mwenyewe, sasa mtu ambae hata mwenyewe anajidharau anaweza kua mtu wa maana tena kwenye jamii?
Acha upotoshaji Mkuu, do you even know the meaning of hate speech? Ali hakumuita Frazier "sura mbaya" as a racial slur. Kwa Marekani ya kipindi hicho Ali angeingia kwenye shida kubwa na watu weusi kama ingekuwa hivyo.
 
Yaani hela mbuzi wanayolipwa halafu uwakate tena? Inatakiwa mapromota ndio walazimishwe kuwakatia bima mabondia.
Kwanini kusiwe na kima cha Chini cha malipo katika mapambano yao?

Kwa kufanya hivi unaweza ku-impose hayo Makato baada ya wao kuugua ama kustaafu wakawa wanapata kiinua mgongo Chao

Otherwise wataendelea kupitisha mabakuli kuomba msaada wa matibabu ama hela ya Kodi
 
Kuomba radhi hakumfanyi mtu kuacha kulaumiwa,kingine kulaumiwa siyo kwamba mtu ana chuki na wewe ni kuambiwa ukweli ili wewe mtendaji uelewe usije ukarudia tena uliyotenda.

Mbona humtetei M Jackson maana amekuwa mentioned hapo,ukijifananisha kwa namna yoyote na ngozi nyeupe lazima tukuone wazimu maana utakuwa unachekesha na ndicho kilichowapata hao mabwana.
Upotoshaji mwingine huu, Muhammad Ali kamwe hajawahi kujifananisha na wazungu. Huyu ni mtu aliyebadilisha jina toka Cassius Clay kwenda kuwa Muhammad Ali. Mtu kama huyu unaanzaje kusema eti anajifananisha na wazungu?
 
Acha upotoshaji Mkuu, do you even know the meaning of hate speech? Ali hakumuita Frazier "sura mbaya" as a racial slur. Kwa Marekani ya kipindi hicho Ali angeingia kwenye shida kubwa na watu weusi kama ingekuwa hivyo.
Kabla ya kuandika jambo jitahidi ulifanyie utafiti kwanza kuficha aibu ya ukoo.
Screenshot_20250324_161104_Chrome.jpg

Kwenye link zako zote hakuna sehemu ambayo inaonyesha kuwa Ali alikuwa mbaguzi kwenye matamshi yake dhidi ya Frazier au mtu mwingine yeyote kama unavyotaka kutuaminisha. Frazier saying he still got no love for Ali doesn't mean Ali was a racist. Fanya tena homework yako.
Aisee. Hapo panaposema alikua aki mock the skin color, hair and features of other African American hukupaona? Na nime highligh ili ikusaidie kuona bado hujaona?

Ali was shit hole. That's it.
 
Aisee. Hapo panaposema alikua aki mock the skin color, hair and features of other African American hukupaona? Na nime highligh ili ikusaidie kuona bado hujaona?

Ali was shit hole. That's it.
Mocking skin color or hair does not mean a person is a racist. Black Americans do it all the time, dark skin blacks mocks light skin blacks and vice versa. Also a lot of people, mainly white people, thought Ali was an a**hole. You're not alone.
 
This is well noted sir. Thank you.
 
Back
Top Bottom