Ata lile pambano la mwisho la Muhammad pia lilimuachia faults kichwaniAisee, ndiyo maana Mayweather aliamua kutangaza kustaafu mapema huo mchezo
Ata lile pambano la mwisho la Muhammad pia lilimuachia faults kichwaniAisee, ndiyo maana Mayweather aliamua kutangaza kustaafu mapema huo mchezo
Mchezo hatari sana huoAta lile pambano la mwisho la Muhammad pia lilimuachia faults kichwani
Kwa huku bongo, ambako malipo ni kiduchuMchezo hatari sana huo
Ni kweli, Bongo ndiyo hatari zaidiKwa huku bongo, ambako malipo ni kiduchu
Kuna story moja nimesikiliza majuzi mandonga anasema amepambana mapambano, sita ya bila kulipwa ili tu apate "fame"🤔Ni kweli, Bongo ndiyo hatari zaidi
Maana mabondia wenyewe hata bima za afya wengi hawana
Ukishaanza kuugua hata hela ya matibabu unakosa
Duh, hiyo ni hatari sanaKuna story moja nimesikiliza majuzi mandonga anasema amepambana mapambano, sita ya bila kulipwa ili tu apate "fame"🤔
Anakwambia sometimes mabondia wanapanda ulingoni kupambania elfu sitini just imagine hapo?
Je 60k inaweza sort ni nini kwenye basic needs
Kuna hii ya twaha kiduku anasema kuna kipindi aliwahi kwenda kwenye sindano kupigania Smartphone ambayo Ata ilkua haizidi laki moja.Duh, hiyo ni hatari sana
Elfu 60??
Hatari sana, yaani una risky Uhai na afya yako kwaajili ya smartphone 🙌Kuna hii ya twaha kiduku anasema kuna kipindi aliwahi kwenda kwenye sindano kupigania Smartphone ambayo Ata ilkua haizidi laki moja.
Kweli simu Alipata lakini alibondwa vibaya mpaka yeye mwenyewe alitoa machozi "akasema nimemuaga wife nyumbani naenda kupambania iyo simu ulingoni lazima nije" nayo🤔🥶inafikirisha
Sasa si mapambano father, uzuri ni kazi halaliHatari sana, yaani una risky Uhai na afya yako kwaajili ya smartphone 🙌
Nikiwa Kiongozi namba 1 wa hii Nchi, nitaweka Sheria Kila msanii/athletic atakatwa kiasi fulani cha fedha kwaajili ya bima kubwa ya afya pamoja na pension.Sasa si mapambano father, uzuri ni kazi halali
Mohamed alikua na maneno machafu na mdomo mchafu sana, alimdhalilisha sana Joe Frazier kwa kumuita nyani, yeye akawa anajifananisha na wazungu kisa kua light skin ama kua na light complexion na kusema Joe Frazier ni Nyani kisa yeye ana weusi zaidi kuliko yeye.Muhammad Ali, anaonekana ni mtulivu sana aliyekuwa anaongea Kwa upole sana.
Tofauti na sifa ya mabondia wengi walivyo
Pambano lake na George Foreman, Kwa upande wangu ndilo pambano kali nyakati zile
Aisee, kumbe ubaguzi ulianza kitambo kwenye michezo 🙌Mohamed alikua na maneno machafu sana, alimdhalilisha sana Joe Frazier kwa kumuita nyani, yeye akawa anajifananisha na wazungu kisa kua light skin ama kua na light complexion na kusema Joe Frazier ni Nyani kisa yeye ana weusi zaidi kuliko yeye.
Mohamed Ally kwa ujumla alikua mtu wa hovyo.
Imagine mtu mweusi anamuita mweusi mwenzake Nyani, kisa yeye ana ka light skin kama demu, anaita mwanaume mweusi eti nyani.Aisee, kumbe ubaguzi ulianza kitambo kwenye michezo 🙌
Bora miaka hii, Kuna Kampeni nyingi za kujaribu kupunguza
Hakufanya sahihi aiseeImagine mtu mweusi anamuita mweusi mwenzake Nyani, kisa yeye ana ka light skin kama demu, anaita mwanaume mweusi eti nyani.
Ali alikua mtu wa hovyo ambae jamii yoyote ya watu wastaarabu walitakiwa kutomzungumzia kwa lolote.
"On the last week i murdered a rock injured a stone hospitalized a brick am so mean i make medicine sick"Muhammad AliMohamed Ali, alikua na kelele sana, muongeaji na activist - labda alipoanza kuumwa
Usimfananishe Ali na wengineImagine mtu mweusi anamuita mweusi mwenzake Nyani, kisa yeye ana ka light skin kama demu, anaita mwanaume mweusi eti nyani.
Ali alikua mtu wa hovyo ambae jamii yoyote ya watu wastaarabu walitakiwa kutomzungumzia kwa lolote.
Imagine mtu mweusi anamuita mweusi mwenzake Nyani, kisa yeye ana ka light skin kama demu, anaita mwanaume mweusi eti nyani.
Ali alikua mtu wa hovyo ambae jamii yoyote ya watu wastaarabu walitakiwa kutomzungumzia kwa lolote.
Huyo huenda ana chuki tu binafsi na Muhammad Ali.Hakufanya sahihi aisee
Ana bahati miaka ile hakukuwa na social networks kama sasahivi, watu wangeendesha Kampeni ya kumpinga hadi angeomba radhi