Geography somo linakuchinja huku unatabasamu

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,815
Vipi humu!!

Kwa wale ambao Mungu alitupa kibali kusoma masomo ya sekondari (o.level na a.level) kwa somo la geography mtakubaliana nami kuwa hili somo unaweza kuliona simple sana, tena paper zake unafanya ukitabasamu kabisa ila matokeo yanapotoka unabaki mdomo wazi..

Nisomo gumu sana kunyanyuka na A,

Shikamoo geog!!!!
 
O'Level nilinyanyuka na A lakini Advance ilizingua.

Kupata A advance huwa ni ngumu sana ila pia kufeli labda kwa uzembe wako tu. Huwezi kufeli sana lakini huwezi kufeli pia ukijipanga.
 
O'Level nilinyanyuka na A lakini Advance ilizingua.

Kupata A advance huwa ni ngumu sana ila pia kufeli labda kwa uzembe wako tu. Huwezi kufeli sana lakini huwezi kufeli pia ukijipanga.
Duuuuh mkuu ulijikunja kibanda cha geog si mchezo
 
Vipi humu!!

Kwa wale ambao Mungu alitupa kibali kusoma masomo ya sekondari (o.level na a.level) kwa somo la geography mtakubaliana nami kuwa hili somo unaweza kuliona simple sana, tena paper zake unafanya ukitabasamu kabisa ila matokeo yanapotoka unabaki mdomo wazi..

Nisomo gumu sana kunyanyuka na A,

Shikamoo geog!!!!
Ni topic chache tu zinasumbua ukikomaa map reading na physical geog ushachomoka ndo somo langu Bado nalisoma hadi saiv..!!!
 
Ukifanya utafiti wa matokeo ya kidato cha nne somo linaloongoza kwa kufelisha ni Mathematics then Geograpghy inafuata baada ya mathematic.
Somo sio gumu sana Ila watu wanachukulia masikhara ndio maana wanafeli sana
 
Climatology bado hapo
hi topic hii urefu wake ni shida the same to mechanics katika physics advance hi mechanics na eletronics zimenitesa sana izi topic advance dah.... way way bac...ila geo kawaida tuu sasa mzee ukute unapiga PGM hatari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom