Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
262
Reaction score
446
1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana

2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake".
Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute

3.Ukimproach Mwanamke akikutaa Usilazimishe mjibu Ok then Futa Namba

4.Ukiingia nae kwenye Mahusiano Punguza unalivyonavyo usiongeze usivyonavyo Kama Una labda Tsh 1,000,000 mwambie Una akiba ya 10,000 Kiufupi asijue exactly networth/pocket amount yako

5.Usimpigie Simu Zaidi ya mala 2 Kama hatopokea usimtafute mpaka siku akutafute yeye hata Kama utapita mwaka

6.Usitume Sms juu ya Sms asipojibu sms yako moja usitume nyingine mpaka ajibu

7.Usiombe msamaha Kama ujakosea

8.Kwenye mahitaji yake usimpe kilasiku na wala usimnyime kila siku.Ujaelewa hapo yaani namaanisha usiseme ndio Lila kitu na usiseme hapana kila kitu

9.Pia kuhusu kuhonga Usijitutumue Honga asilimia chini ya 20% ya hela yako ya ziada usizidishe hapo Kama 100,000 Usizidishe 20,000 una 50,000 Alafu Unahongo yote huo Ni uzwazwa

10.Kulilia Mwanamke Ni Umama Asipokuheshimu muache,Akiwa kilaza muache,Akiwa mswahili muache,Akiwa Anapenda Ubeyonce alafu anaishi keko magulumbasi muache,

Akiwa na nyodo muache,Akiwa Anatumia TU hela zako bila kuchangia Chochote kwenye utafutaji wako hata mawazo muache,Akiwa mvaa uchi uchi muache,Akiwa hataki shida muache".Akikuzingua muache Yaani usimbembeleze mtu we muache".

Mwanaume kulia lia kisa Mapenzi Ni dhambi kubwa Sana Mwanaume Ni kukaza Roho Unakua mgumu Kama chuma
 
Nimuone, anivutie alafu number nisichukue, nimpe yangu aaah we!.

Kwa kifupi kila mmoja atumie njia zake, ila kwenye hela na kutokuwa weak nakusapoti.
 
Yaani uhonge 20% yote hiyo, Mungu mwenyewe amesema 10% kuhonga mwisho 2%
 
Back
Top Bottom