jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
kwa hiyo source ni Rusesabagina? lol... Huwezi kuwekahabari inayoleta madai kuhusu marekani halafu ukaficha kuwa imeandikwa na Northkorea.
Matokeo yake tutapoteza muda kusahihisha "makosa" kumbe mwandishihakukosea alikuwa anajua anafanya nini.
Wewe kwa nini unakwepa kuweka link ya huko ulikoitoa?
kweli jMali wee ni mtu wa ajabu sana, sasa ulitegemea Rusesabagina na jamaa waliye gawana mshiko wasemeje?
source ni director wa movie, sio rusesabagina. Does it matter kama aliyosema yamewekwa kwenye website ya rusesabagina? Haya tuyaangalie hapa kwenye WASHINGTON POST ili uwe na uhakika.
"When the film was released, Rusesabagina was acknowledged as a hero not just by ordinary people across the United States and Europe but also by diplomats, politicians, journalists and Rwandan officials in diplomatic posts here. Rwandan expatriates gave testimony to the veracity of the film, as did people who had been in the hotel and who tearfully acknowledged Rusesabagina's role.
Last May I had the chance to meet Rwandan President Paul Kagame in Rwanda. I sat beside him as he and his wife and most of Rwanda's parliament watched the movie. Afterward he leaned over to me and said the film had done much good around the world in exposing the horrors of the genocide. The next evening, I screened the film at Amahoro Stadium for some 10,000 people. It was the most emotional screening I have ever been at. I spent close to an hour afterward accepting thanks and congratulations. "
source: Terry George - Smearing a Hero
Please zingatia mambo ya muhimu kama:
1. Kagame aliangalia filamu hii with the director
2. Filamu ilionyeshwa Amahoro stadium.
3. that 1 and 2 above had no problem until rusesabagina started politics
cc: Bongolander