Genocide denial: Rwandans take the fight beyond borders

..hivi "Hotel Rwanda" nayo ni sehemu ya genocide denial?

cc jMali, mchambawima1, Talkandtalk, Ruge Opinion, Bongolander

initially haikuwa sehemu ya genocide denial, hata rusesabagina alipohamia majuu baada ya genocide hakuwindwa kama wahutu wengine kwa sababu stori yake ilikuwa internationally known, mwaka 2002 Serikali ya Rwanda ilimualika kuja kupokea medali ambayo angepewa na Paul kagame himself kwenye zile sherehe zao za kila mwaka za kuadhimisha genocide, kwa kutambua mchango wake kwenye real event ya "hotel rwanda". Kumbuka at that time 2002, movie ilikuwa bado haijatoka. Lakini dunia nzima ilikuwa inajua nini alifanya na kagame alitaka kumpa medali! Ila bahati mbaya Rusesabagina hakwenda Rwanda. Mwaka 2005 rusesabagina akapata tuzo nyingine toka kwa George Bush hii ilikuwa ni baada ya Movie kutoka, serikali ya Rwanda ilifurahi sana na kutuma ujumbe maalum wa pongezi kwake! nadhani kama sikosei balozi aliyetuma hizo pongezi alikuwa ni huyu richard sezibera wa EAC at that time, hapo bado hotel rwanda ilikuwa haina tabu.
Kasheshe ilianza shortly after that, ambapo Rusesabagina alianzisha harakati za kisiasa za kutaka kuleta truth and reconciliation commission kama ile ya South africa kwa Rwanda kuhusu kilichotokea 1994, alipeleka vile vile petititions sehemu mbalimbali ikiwamo UN, ICTR akitaka upande wa RPF nao ushitakiwe kwa uhalifu wao, n.k baadhi ya harakati zake ziko humu: Letters from Paul | Hotel Rwanda Rusesabagina Foundation.
Na vile vile kulikuwa na tetesi hapa na pale nchini Rwanda kuwa anaweza kugombea urais. Kwa siasa za hovyo za kikabila nchini Rwanda jamaa alikuwa "ideal candidate", kwani ni Mhutu hivyo anatokea kabila majority, halafu ameoa mtutsi hivyo ni "moderate", ukijumlisha na heroism yake ya kuwaokoa watutsi inayojulikana dunia nzima, hata watutsi wakamkubali, kagame akaona hii itakuwa shida. NDIPO HAPO HOTEL RWANDA STORY IKAGEUZWA KUWA GENOCIDE DENIAL BAADA YA MIAKA ZAIDI YA 10 KUPITA! Wakakusanywa watutsi wote ambao waliokolewa na rusesabagina huko Rwanda wakatishiwa of course na wakaunda kikundi eti cha kuweka stori sawa kuwa rusesabagina aliwatoza fedha, aliwapiga, aliwatoa "kafara" baadhi yao na mambo mengine kedekede, baadhi ya watutsi walio ughaibuni nao wakatishiwa maisha ya ndugu zao walio Rwanda (hii ni kawaida kabisa, ole wako Kagame afanye ziara hiyo nchi halafu wewe ukatae kubeba mabango ya 'kagame we love you', ndugu zako kigali wataipata!), inabidi nao wageuze stori nzima juu chini! Waandishi wa serikali wakatunga vitabu kumchafua rusesabagina.
Kichekesho ni wale watutsi ambao walio-survive hotel rwanda wakaenda ughaibuni lakini hawana ndugu back in Rwanda, hawa wana stori ile ile ya Hotel rwanda! Hivyo ukikuta watutsi wawili waliokuwapo hotelini lakini wanapishana kauli kuhusu rusesabagina, we muulize huyu anayepinga hii stori kama ana ndugu rwanda au la, LAZIMA ATAKUWA NAO. Na vile vile ukiuliza wanaomjua huyu mtu kuwa kama alikuwa na stori hii hii siku zote usishangae kuambiwa alibadili stori baada ya mwaka 2005, kabla ya hapo alikuwa na stori ile ile aliyokuwa nayo mwenzake ambaye hana ndugu Rwanda!

Halafu hapo hapo rusesabagina akapewa kesi lukuki ikiwamo Terrorism, kufadhili FDLR wapindue serikali pamoja na genocide denying itself. So amini usiamini leo hii Rusesabagina akitia timu Rwanda for the first time since 1994 anakwenda straight jela!
Hivyo kwa sasa ukienda na Hotel Rwanda kigali cha moto utakiona. Serikali ya Rwanda inapromoti movie nyingine inaitwa "sometimes in April" ambayo ndio mbadala wa Hotel Rwanda kupitia kampuni zake za PR na media. Hii ndi movie inayokubalika Rwanda kuwa ndio ya ukweli. Lakini hii movie ni ENTIRELY FICTIONAL.

cc: Charles Mkubya Ruge Opinion
 
..hivi "Hotel Rwanda" nayo ni sehemu ya genocide denial?

cc jMali, mchambawima1, Talkandtalk, Ruge Opinion, Bongolander

According to serikali ya Rwanda YES. Kwa sababu Paul Rusesabagina ni mhutu, and a hutu is supposed to be interhamwe and a killer. Na Hotel Rwanda inakinzana na narrative ya serikali ya Rwanda inayotaka kuaminisha watu kuwa a hutu can not be a savior.Ndio maana Serikali ya Kigali ilijaribu kufanya juhudi kumfikisha Paul mahakamani.
 
I was thinking the same thing. In the past 21 years, Congo has lost millions and the perpetrators are those who cry the victims of genocide.

This is the problem. Looks to me that it is a problem for some to get killed, and ok for others to get killed
 
There you go. I think if somebody puts everything into historical context, the individual might find out that the genocide masks the underlying causes of hatred there. Why Hutus held power for long and why Tutsi don't to give it up?
 
According to serikali ya Rwanda YES. Kwa sababu Paul Rusesabagina ni mhutu, and a hutu is supposed to be interhamwe and a killer. Na Hotel Rwanda inakinzana na narrative ya serikali ya Rwanda inayotaka kuaminisha watu kuwa a hutu can not be a savior.Ndio maana Serikali ya Kigali ilijaribu kufanya juhudi kumfikisha Paul mahakamani.
Bongolander, naona na wewe sumu ya jMali inaanza kukuingia....kwanza tulishakuambia kuwa interahamwe is an ideology and not a tribe. For all I know jMali could be a Mtutsi or a Mhutu but because of what he espouses that is why i call him an interahamwe. Ugomvi wangu mimi na huyu interahamwe ni mmoja tu, tangu miaka ya 90 amekaa kimya and according to him ameanza kufuatilia masuala ya Rwanda mwaka jana mwanzoni, sasa tujiulize? Kama anavyosema, Kagame ni mbaya ina maana kagame ameaanza kuwa mbaya January ya mwaka jana? BTW January mwaka jana ndio yule shushushu Karegeya alijipiga kitanzi. (coincidence? i don't think so). Sasa na wewe ndugu yangu unaanza kuupotosha uma.

Hotel Rwanda ni fiction and you and i know that anything comming out of hollywood is a good fiction. They make movies for the mass market and hence they have to glossy it over to creat a hero where none existed. There are more real and unsung heroes who did more than this guy but you don't here them shouting in the media.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kwanza utakuwa unaelewa kabisa kuwa i try to look at this this thing in a very objective manner. But no worries, sumu ya chuku haiwezi kuingia kwangu.

Hili la kuwa interhamwe ni ideology kwangu ni somo tayari, did not know, I thought it was something which some politicians made it to appear a hutu thing.

If what we sawa in Hotel Rwanda is true, i can regard Paul as a hero, regardless of what is being said.
 
FYI...Interhamwe lilikuwa ni timu ya mpira ya mtaani ambayo baada ya kupewa sumu na viongozi wa Habyarimana, wakaacha kucheza mpira wakawa wauaji.
 
Mkuu kwanza utakuwa unaelewa kabisa kuwa i try to look at this this thing in a very objective manner. But no worries, sumu ya chuku haiwezi kuingia kwangu.

Hili la kuwa interhamwe ni ideology kwangu ni somo tayari, did not know, I thought it was something which some politicians made it to appear a hutu thing.

If what we sawa in Hotel Rwanda is true, i can regard Paul as a hero, regardless of what is being said.

What really happened in Hotel Rwanda? - Magazine - www.theeastafrican.co.ke

Rwandans challenge humanitarian award | Toronto & GTA | News | Toronto Sun
 
Bongolander, naona na wewe sumu ya jMali inaanza kukuingia....kwanza tulishakuambia kuwa interahamwe is an ideology and not a tribe. For all I know jMali could be a Mtutsi or a Mhutu but because of what he espouses that is why i call him an interahamwe. Ugomvi wangu mimi na huyu interahamwe ni mmoja tu, tangu miaka ya 90 amekaa kimya and according to him ameanza kufuatilia masuala ya Rwanda mwaka jana mwanzoni, sasa tujiulize? Kama anavyosema, Kagame ni mbaya ina maana kagame ameaanza kuwa mbaya January ya mwaka jana? BTW January mwaka jana ndio yule shushushu Karegeya alijipiga kitanzi. (coincidence? i don't think so). Sasa na wewe ndugu yangu unaanza kuupotosha uma.

Hotel Rwanda ni fiction and you and i know that anything comming out of hollywood is a good fiction. They make movies for the mass market and hence they have to glossy it over to creat a hero where none existed. There are more real and unsung heroes who did more than this guy but you don't here them shouting in the media.

1. Point of correction, sijasema nimeanza kufuatilia mambo ya Rwanda mwaka jana, nilisema "my first post kuhusu Rwanda was posted in january 2014". Usipotoshe.
2. "hotel Rwanda" is a movie based on a true story, wahusika wake wapo in real life like rusesabagina yupo, hoteli ipo, mkewe yupo etc, you can't compare this movie with for eg. " sometimes in April" ambayo storyline yake ni uongo mtupu.
 
hebu pitia hii definition ya Genocide kwanza: It is a crime to plan or incite genocide, even before killing starts, and to aid or abet genocide: Criminal acts include conspiracy, direct and public incitement, attempts to commit genocide, and complicity in genocide.
kama definition bado ngumu kwako kuielewa usiogope kunyoosha kidole juu.
I take note of your self assured arrogance mchambawima1. I don't see how that definition justifies deliberate exclusion of other victims of the genocide. Do you mean Hutu victims of the genocide do not deserve a mention simply because the genocide was planned and perpetrated by fellow Hutus? That is twisted reasoning or lack of reasoning.
 
Bongolander, naona na wewe sumu ya jMali inaanza kukuingia....kwanza tulishakuambia kuwa interahamwe is an ideology and not a tribe. For all I know jMali could be a Mtutsi or a Mhutu but because of what he espouses that is why i call him an interahamwe. Ugomvi wangu mimi na huyu interahamwe ni mmoja tu, tangu miaka ya 90 amekaa kimya and according to him ameanza kufuatilia masuala ya Rwanda mwaka jana mwanzoni, sasa tujiulize? Kama anavyosema, Kagame ni mbaya ina maana kagame ameaanza kuwa mbaya January ya mwaka jana? BTW January mwaka jana ndio yule shushushu Karegeya alijipiga kitanzi. (coincidence? i don't think so). Sasa na wewe ndugu yangu unaanza kuupotosha uma.

Hotel Rwanda ni fiction and you and i know that anything comming out of hollywood is a good fiction. They make movies for the mass market and hence they have to glossy it over to creat a hero where none existed. There are more real and unsung heroes who did more than this guy but you don't here them shouting in the media.
Looks to me like the proponents of genocide denial are avid deniers of facts themselves. So if there are (known) heroes whose heroics are not acknowledged who is to blame? Surely not the genocide deniers.
 
I take note of your self assured arrogance mchambawima1. I don't see how that definition justifies deliberate exclusion of other victims of the genocide. Do you mean Hutu victims of the genocide do not deserve a mention simply because the genocide was planned and perpetrated by fellow Hutus? That is twisted reasoning or lack of reasoning.

OMG! not at all! take it easy man... it is called the "GENOCIDE AGAINST THE TUTSI DURING WHICH MODERATES HUTU WERE ALSO KILLED" clear? what is not acceptable though is when people say: draw match, every body killed every body and then let's start all over as if a definition & steps of Genocide took place in Rwanda don't exist
 
That's a new one! I can see a new art (or is it a science?), "genocide engineering", emerging.
 
Mkuu kwanza utakuwa unaelewa kabisa kuwa i try to look at this this thing in a very objective manner. But no worries, sumu ya chuku haiwezi kuingia kwangu.

Hili la kuwa interhamwe ni ideology kwangu ni somo tayari, did not know, I thought it was something which some politicians made it to appear a hutu thing.

If what we sawa in Hotel Rwanda is true, i can regard Paul as a hero, regardless of what is being said.

Bongolander, lets put politics aside natuangalie ukweli..
1.Paul Rusesabagina was a hotel manager alikuwa mfanyakazi, hivi alikuwa na uwezo upi wa kuzuia Interahamwe kuingia hotelini kuua watu waliokuwa wamekimbilia huko?
Huyu alikuwa raia wakawaida tu labda ukisema the fact that he did not participate into killings makes him a hero.
Tunachosema, he was not a hero as it is portrayed by himself.
Kuna raia wengi tu wakawaida wa Kihutu ambao walifanya kazi kubwa sana zaidi yake hawa wapo na baadhi wamepewa shukrani na familia zilizo survive pia wengine wamepewa medals na serikali.
Rusesabagina alitumia popularity ya movie kujiimarisha kisiasa.
 
Bongolander, naona na wewe sumu ya jMali inaanza kukuingia....kwanza tulishakuambia kuwa interahamwe is an ideology and not a tribe. For all I know jMali could be a Mtutsi or a Mhutu but because of what he espouses that is why i call him an interahamwe. Ugomvi wangu mimi na huyu interahamwe ni mmoja tu, tangu miaka ya 90 amekaa kimya and according to him ameanza kufuatilia masuala ya Rwanda mwaka jana mwanzoni, sasa tujiulize? Kama anavyosema, Kagame ni mbaya ina maana kagame ameaanza kuwa mbaya January ya mwaka jana? BTW January mwaka jana ndio yule shushushu Karegeya alijipiga kitanzi. (coincidence? i don't think so). Sasa na wewe ndugu yangu unaanza kuupotosha uma.

Hotel Rwanda ni fiction and you and i know that anything comming out of hollywood is a good fiction. They make movies for the mass market and hence they have to glossy it over to creat a hero where none existed. There are more real and unsung heroes who did more than this guy but you don't here them shouting in the media.

Ahahahahah, mzee wa jenosaidi una hasira...... Unaweza kumtoa mtu roho.
Jmali anaongea kilicho sahihi, nyie mnaongea kumpendezesha Kagame. Tatizo ndo linaanzia hapo. Reality VS Upambe
 
Bongolander, lets put politics aside natuangalie ukweli..
1.Paul Rusesabagina was a hotel manager alikuwa mfanyakazi, hivi alikuwa na uwezo upi wa kuzuia Interahamwe kuingia hotelini kuua watu waliokuwa wamekimbilia huko?
Huyu alikuwa raia wakawaida tu labda ukisema the fact that he did not participate into killings makes him a hero.
Tunachosema, he was not a hero as it is portrayed by himself.
Kuna raia wengi tu wakawaida wa Kihutu ambao walifanya kazi kubwa sana zaidi yake hawa wapo na baadhi wamepewa shukrani na familia zilizo survive pia wengine wamepewa medals na serikali.
Rusesabagina alitumia popularity ya movie kujiimarisha kisiasa.

1. kabla ya movie kutoka in 2002, Rusesabagina was awarded a medal kwa mchango wake by the Rwandan government, tena kama angehudhuria sherehe za kuadhimisha genocide angevalishwa kagame himself. Sasa wewe unaleta porojo eti he was not a hero? Tafadhali explain what was that medal for, na kwa nini yeye tu. remember movie ilikuwa hata haijatungwa hapo.
Kwa nini baada ya yeye kuanza siasa 2005 ndio suddenly mnakuja na versions nyingine za who rusesabagina was? wale watutsi waliokuwa wanahojiwa na kumsifu 2002 walikuwa wanadanganya?
 
OMG! not at all! take it easy man... it is called the "GENOCIDE AGAINST THE TUTSI DURING WHICH MODERATES HUTU WERE ALSO KILLED" clear? what is not acceptable though is when people say: draw match, every body killed every body and then let's start all over as if a definition & steps of Genocide took place in Rwanda don't exist

Lets see, "Genocide against tutsis in which moderate Hutus were also killed". This is PARTLY TRUE. Interahamwe targeted all tutsis (genocide against tutsis) and also Hutus who helped tutsis. However, the term "moderate hutus" is not only misleading but also insulting to the Hutus, since it makes it look like majority of Hutus were extremists. And it has been put there deliberately to make it look like all hutus that died were killed by the interahamwe in connection to the genocide. THIS IS A LIE.
What you want us to forget is that RPA was not supported by everyone in Rwanda, it was a tutsi-rebel group fighting a legitimate government which was predominatly Hutu. The majority of people did not support the RPA, especially given the fact that they had been attacking and killing innocent people since 1990! These were invaders not liberators!
The majority of people that had been killed were killed by the RPA not the government nor the interahamwe. That is why the government of rwanda does not want Hutus to acknowledge their dead (as suggested by Victoire ingabire), since that would open the pandoras box. The number of dead Hutus exceeds the number of Tutsis and this put in doubt the whole "genocide against tutsis and moderate hutus" business. Any sane person would wonder how can interahamwes kill a greater number of their own people in search of a few tutsis.
Me and my fellow "interahamwes, fdlr, rnc, blah blah blah" as you call us, have no problem with the fact that interahamwe committed genocide against tutsis, but it is your camp that has a problem acknowleging RPA/kagame injustices against your fellow Hutus. Denying their deaths and and even when you do, grouping every Hutu that died as an interahamwe who was supposed to be killed anyway, is just evil.

cc: Ruge Opinion
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom